Tap It Plumbing
@jkairuh
Plumber 001👷🚽🚿🛁🪠💎
ID: 2745341782
17-08-2014 12:41:58
6,6K Tweet
1,1K Takipçi
1,1K Takip Edilen
Nakumbuka sometime back nikiwa highschool MC Fullstop Foundation walikuwa wanapiga show hatari riddim up mtaani na Dj Juan - Machwani 🇰🇪 Jamaa alienda kupose picha na jeshi ya Kikuyu wakamuibia toppa on live tv... 😂😂😂
This #MashujaaDay Im celebrating MC Fullstop Foundation na Dj Juan - Machwani 🇰🇪 ... Pale zamani masaa kama hii tulikuwa na show moja mambo serious theka theka theka .. ah! Alafu upate hizo mixtape unatesa mtaa mwaka mzima hadi mashujaa ya the following year😂 legends these ones
Happening now in Kikuyu Kimani Ichung’wah #TotalShutDown #Reje