Jennifer Sumi@Cute (@jennywilly20) 's Twitter Profile
Jennifer Sumi@Cute

@jennywilly20

A Mentor, a Leader, a Dream fighter and God fear, this is my package ##Proudly Senior Online Producer with achievement!

ID: 816624928061554688

calendar_today04-01-2017 12:38:49

917 Tweet

295 Takipçi

640 Takip Edilen

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Baada ya kufa kwako hutakuwa na uwezo juu ya matukio yatakayofuatia. Ukishakufa, watakuamulia na ikibidi kupindua kila ulichopanga. Usiumize kichwa sana juu ya maisha baada ya kufa kwako". ~ Togolani Mavura.

Jennifer Sumi@Cute (@jennywilly20) 's Twitter Profile Photo

Je unafahamu kuwa kiti unachokalia ofisini kinaweza kuwa chanzo cha ulemavu wako au taa unazotumia zinaweza kuwa chanzo cha upofu wako🤔✍️"...Wakala wa USALAMA na AFYA MAHALI pa kazi (OSHA). #tefnaosha #mafunzo #usalamanaafyamahalipakaI

Je unafahamu kuwa kiti unachokalia ofisini kinaweza kuwa chanzo cha ulemavu wako au taa unazotumia zinaweza kuwa chanzo cha upofu wako🤔✍️"...Wakala wa USALAMA na AFYA MAHALI pa kazi (OSHA).
#tefnaosha
#mafunzo
#usalamanaafyamahalipakaI
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji." ~Togolani Mavura.

"Mpende unayempenda lakini acha nafasi, inawezekana siku moja atakukera. Na mchukie mtu unavyotaka kumchukia lakini weka nafasi, yawezekana siku ukamuhitaji." ~Togolani Mavura.
Jennifer Sumi@Cute (@jennywilly20) 's Twitter Profile Photo

Newsrooms in Africa should be ready to embrace the #digitalera🤳✍️ with #AIdance📌 ..Let us #plan and #invest... #DMAfrica2024 #WINAfrica

Newsrooms in Africa should be ready to embrace the #digitalera🤳✍️ with #AIdance📌 ..Let us #plan and #invest...
#DMAfrica2024 
#WINAfrica
Jennifer Sumi@Cute (@jennywilly20) 's Twitter Profile Photo

#DMAfrica2024 take away: Gen Z audiences wanahitaji news zenye ubora, mvuto, ukweli na za mambo yanayowahusu na kuwafundisha, kuwaburudisha...na zaidi wanataka kuyapata katika lugha zrahisi na yenye kueleweka. Zaidi kupitia Digital Media... #letembracethedigital🤳 #WINAfrica🫶

#DMAfrica2024 take away: Gen Z audiences wanahitaji news zenye ubora, mvuto, ukweli na za mambo yanayowahusu na kuwafundisha, kuwaburudisha...na zaidi wanataka kuyapata katika lugha zrahisi na yenye kueleweka.

Zaidi kupitia Digital Media...
#letembracethedigital🤳
#WINAfrica🫶
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kuna wakati unalazimika uutue mzigo chini ili uupange upya upate kubebeka vizuri. Vivyo hivyo kwenye maisha, kuna nyakati huna budi kupukutisha baadhi ya watu katika maisha yako ili upate fursa ya kuwapanga upya waendane na muelekeo wa maisha yako. Kupangua nako pia ni kupanga!"

"Kwenye mazungumzo yako hakikisha unaliepuka neno 'mbona' maana huwa linaishiaga kuyafukua na kuamsha mambo yaliyolala." ~Togolani Mavura.

"Kwenye mazungumzo yako hakikisha unaliepuka neno 'mbona' maana huwa linaishiaga kuyafukua na kuamsha mambo yaliyolala." ~Togolani Mavura.
Jennifer Sumi@Cute (@jennywilly20) 's Twitter Profile Photo

🏋️‍♂️🍸Thank you @WAN-IFRA and @WomenInNews for the love, knowledge, and nurturing 🙏📍...Elimu haina Mwisho💪...#FourPointbySheraton

Halima Sharrif mwasisi wa TAMWA amsema licha ya ujio wa TEHAMA kuwa na manufaa kwa kuchangia fursa nyingi kwa wanawake lakini pia imeathiri harakati za usawa wa wanawake katika ushiriki wao wa maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa na kuathiri agenda za wanawake nchini. @tamwa_