Health_farm_tz (@health_farm_tz) 's Twitter Profile
Health_farm_tz

@health_farm_tz

Chanzo chako bora cha kidijitali kwa Taarifa na Elimu ya Afya na Ustawi. Tufuate kwa afya bora na ustawi wako!

ID: 1442182538605174786

linkhttps://linktr.ee/health_farm_tz calendar_today26-09-2021 17:41:59

2,2K Tweet

551 Takipçi

58 Takip Edilen

Health_farm_tz (@health_farm_tz) 's Twitter Profile Photo

UTAFITI: Utafiti mpya kutoka chuo kikuu Cha Columbia Cha huko New York marekani uliochapwa katika jarida la #AmericanHeartAssociation umekuja na majibu ya kuwa hasira au kukasirika inaongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi.

UTAFITI:
Utafiti mpya kutoka chuo kikuu Cha Columbia Cha huko New York marekani uliochapwa katika jarida la #AmericanHeartAssociation umekuja na majibu ya kuwa hasira au kukasirika inaongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi.