Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile
Global Impact Transformation

@globalimpactt

Dedicated to empowering communities, GIT leverages technology and innovation to promote equity, build resilience, and foster harmonious societies

ID: 1876387981751439360

linkhttps://globalimpacttransformation.org calendar_today06-01-2025 21:59:39

98 Tweet

243 Takipçi

10 Takip Edilen

Global Impact Transformation (@globalimpactt) 's Twitter Profile Photo

GIT tunaamini kuwa pale ambapo wanawake wanapopewa maarifa, ujuzi, na mazingira salama, wanageuka kuwa viongozi jasiri na wachochezi wa mabadiliko chanya kwenye jamii zao. Tuwe sehemu ya kuwaunga mkono, kuwasikiliza, na kuwatia moyo maana kuinuka kwao ni maendeleo yetu sote.

GIT tunaamini kuwa pale ambapo wanawake wanapopewa maarifa, ujuzi, na mazingira salama, wanageuka kuwa viongozi jasiri na wachochezi wa mabadiliko chanya kwenye jamii zao. 

Tuwe sehemu ya kuwaunga mkono, kuwasikiliza, na kuwatia moyo maana kuinuka kwao ni maendeleo yetu sote.