GetrudeM (@getrudemligo) 's Twitter Profile
GetrudeM

@getrudemligo

Author of 13 Books FT Korea | G.E.C @UN_Women| Supporting Your Digital Dream @Natokajekidigit| Storyteller| Digital Media Consultant| By Grace Through Faith💐

ID: 898230328342462464

linkhttps://linkin.bio/getrudemligo calendar_today17-08-2017 17:09:33

41,41K Tweet

17,17K Takipçi

497 Takip Edilen

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1767 kwa Mara ya Kwanza “Jackson Spa” Kutoka Boston-Marekani alikuja na wazo la Kuuza Maji ya Kunywa na Watu Walimcheka na Kumuona Kichaa …Mwaka 1973 Nathaniel Wyeth alianza Rasmi kuuza Maji kwenye Chupa na bado walimcheka Pia na Kumwona Kichaa 👇🏼

Fredwaah (@fred_waaah) 's Twitter Profile Photo

This is exactly who people in abusive relationships sound like- "Yes ananipiga sometimes but hio ni only akinywa sana which hawezi kucontrol & honestly some other people have it worse - umeona jirani kitu anafanyiwa? Kweli bora huyu wangu walau anaacha hela za matumizi"

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kile kiota chetu cha kujificha ukiwa Jiji la Mwanza, Kipo Bwiru. Currently kina ukurasa wa Instagram Kinaitwa Nyumbani Luxe instagram.com/nyumbani_luxe_… Nimefika binafsi, ni hatari, kuanzia Privacy, Quality, madhari, Decoration 🔥 Kindly Follow the page kwa matumizi yajayo.

Kile kiota chetu cha kujificha ukiwa Jiji la Mwanza, Kipo Bwiru.
Currently kina ukurasa wa Instagram
Kinaitwa Nyumbani Luxe
instagram.com/nyumbani_luxe_…
Nimefika binafsi, ni hatari, kuanzia Privacy, Quality, madhari, Decoration 🔥
Kindly Follow the page kwa matumizi yajayo.
Benjamin Fernandes 🇹🇿 (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

The truth: you’ll never feel ready. You’ll learn on the job, on the journey, in the arena. Start scared. Start insecure. Just start.

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Mkapa alifanyaje kiasi cha kufanya watu kila mwisho wa mwezi wakatege maskio na akili kwenye TV au Redio kuskia anasema nini tena kwa utulivu mkubwa??

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Biashara ambazo zina thrive kupitia insecurities za watu uwa zinadumu sana. Mtu anaamini bila maua hapendwi, bila make up hapendezi, bila shape havutii, bila kuvaa brand hapendezi, watu wanameza had anti aging capsules 🙌🏼 The World is very Manipulative in business.

Benjamin Fernandes 🇹🇿 (@benji_fernandes) 's Twitter Profile Photo

A goal without a deadline is just a fantasy. Winners set deadlines. Deadlines create urgency. Urgency creates results. Set one and watch how fast you start winning.

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Fanyika lango kwenye ibada na maisha yako Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

2 Wakorintho 4:8-9 “Tumeonewa kila upande, lakini hatukati tamaa; tumepata tabu, lakini hatukatiwa moyo; tumeteswa, lakini hatuachwi; tumeangushwa chini, lakini hatuangamii.”

Lolo☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya dominka ya 22 ya mwaka C wa kanisa. “ Unyenyekevu ni bora zaidi kuliko ukarimu” kumbuka kunyenyekea hasa Mungu anapokuinua.” Shabbati Shalom.

Benjamin William Mkapa Foundation (@mkapafoundation) 's Twitter Profile Photo

📍Their dedication is the heartbeat of Tanzania’s health system🫴🏾 💚The CEO of the Benjamin Mkapa Foundation, Dkt Ellen Mkondya Senkoro, standing side by side with Community Health Workers. A powerful reminder that lasting impact happens when vision and action come together.

📍Their dedication is the heartbeat of Tanzania’s health system🫴🏾

💚The CEO of the Benjamin Mkapa Foundation, Dkt Ellen Mkondya Senkoro, standing side by side with Community Health Workers. 

A powerful reminder that lasting impact happens when vision and action come together.