Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile
Fred Ma

@fredmaofficial

Pharmacist 🎓/Founder & CEO;Talanta Pharmaceuticals 💊 /Content Writer✍️

ID: 1620376739758374912

calendar_today31-01-2023 11:01:54

165 Tweet

20 Takipçi

69 Takip Edilen

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#MerryChristmas2024 "Jesus Christ was not born on Christmas Day,but Christmas Day was born on Jesus Christ. Jesus Christ is the Focus of Our Hearts and Minds." ~Fred Ma✍️

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#SiasaZaHoja "Demokrasia ni Udikteta wa Wengi dhidi ya Wachache." Katika Demokrasia maamuzi ya wengi yanapita bila kujali maamuzi ya wachache. Wachache wanakandamizwa. Ubaya zaidi ni pale ambapo Wengi hao ni Wajinga na Wapumbavu.

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#SiasaZaHoja "Udikteta ni Demokrasia ya Wachache dhidi ya Wengi. Wengi hawasikilizwi katika udikteta. Ubaya ni pale ambapo kikundi cha utawala wa kidikteta kinapojawa na watu Wajinga na Wapumbavu."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

“Kwa kujua tumetoka wapi,tunapata nguvu ya kujua tunaelekea wapi. Na kwa kujua tunaelekea wapi,tunapata nguvu ya kuelekea tunakotakiwa kufika na nini cha kufanya hapa tulipo ili tufuzu kufika.” 📚~Wanafikara wa Kiroho

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#𝟵.𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔📚 "Mwenye macho (mawili) haambiwi tazama. Kwa sababu hawezi kukiona kile kinachoonwa na jicho la tatu.👁️ Ni jicho la tatu ndilo huweza kutazama. Haya macho mawili ni kwa ajili ya kuona tu." ~Fred Ma✍️

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#𝟭𝟬.𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔📚 "Watu wengi wanaangamia kwa sababu ya Ujinga. Na Watu wengi wanang'ang'ania Ujinga ili wasiangamie'." ~Fred Ma✍️

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#𝟭𝟭.𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 📚 "Shoka likifika Msituni na Kuanza kukata Miti,.... Miti yote husema,.."Ule Mpini ni Mwenzetu kabisa!"😭

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#𝟭𝟮.𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 📚 "Ukiomba muujiza usihofie ajali ya Basi ulilopanda. Haki na Wajibu ni Ulimi na Mate."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

#𝟭𝟯.𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 "Njia na nia ya kutafuta kitu,vinaweza kuwa sababu ya kujibiwa au kutojibiwa kwa maombi yetu kwa Mungu wetu."

Fred Ma (@fredmaofficial) 's Twitter Profile Photo

Ni Aidha Utajiunga na Programu ya 𝗔𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗧𝗘𝗥𝗬 𝗣𝗥𝗢 au utaketi chini ukijilaumu kwa nini hukujiunga.