Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile
Professional Adventure Guide 🇹🇿

@emilitheguide

Experience Adventure leading thrill- seekers through epic journeys 🌍 Let's Explore the world together (AdventureGuide)/ MSC in Tourism

ID: 1288383059256115200

linkhttp://www.wonderlandexperience.com calendar_today29-07-2020 07:57:44

2,2K Tweet

12,12K Takipçi

246 Takip Edilen

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Fungueni uwanja wa demokrasia let the reforms roll! Tunataka wagombea wa legitimacy sio random selection then Tukutane Bungeni kwenye intellectual arena, wananchi waone clearly nani ni kilaza na nani ni competent. Reforms first, then we grab the forms, twende field tukacheze fair

CCM mna numerical strength inayoonekana hadi kwenye imagery za mikutano yenu, so why the fear of genuine reforms? Fanyeni electoral restructuring tukashindane kwa legitimacy not theatrics. Kuogopa mabadiliko madogo kunawa-expose zaidi kuliko mnavyojificha nyuma ya political drama

Ukombozi wa uchumi wa Tz unahitaji structural reforms National Debt Strategy kupunguza utegemezi, industrial value addition kuacha kuuza raw materials, mutual partnerships badala ya misaada, uwekezaji kwenye human capital (STEM) na evidence-based policies zenye nidhamu ya kifedha

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Hivi viongozi wetu wa sasa kweli mna vision gani na uchumi huu unaoanguka? Taifa hili linaelekea wapi? Mnaona aje kutumia theatrics badala ya real reforms? How long will you keep playing politics while watu wanakufa na hopelessness? This is pure intellectual bankruptcy!

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Hivi kuhalalisha mauaji ya wasio na hatia kwa minajili ya kubaki madarakani kunawaridhisha kimaadili? All this brutality for mere political longevity & material gain? Kumbukeni, damu haina expiry justice, whether temporal or cosmic, itawakumbuka. You will pay.

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Naomba msaada wa haraka🙏🏽 Nina jambo la msingi sana la kuwasilisha kwa viongozi wa CHADEMA waliopo Maji ya Chai - Arusha. Naomba contact info ya office au leadership team huko. This is a matter of urgency & principle. #LeadershipMatters Viongozi msaada wa haraka Tafadhali 🙏🏽

Naomba msaada wa haraka🙏🏽
Nina jambo la msingi sana la kuwasilisha kwa viongozi wa CHADEMA waliopo Maji ya Chai - Arusha. Naomba contact info ya office au leadership team huko.
This is a matter of urgency & principle.
#LeadershipMatters 

Viongozi msaada wa haraka Tafadhali 🙏🏽
Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Utekaji na mauaji ya kisiasa ni projection ya woga na upungufu wa legitimacy. Mhalifu hawezi kuwa kiongozi halali. Psychological guilt haifutwi kwa power play. Taifa hili si monarchy ni civic space ya watu wote. Hatutanyamaza na Tutasema mpaka pale haki itapomaliza woga #NRNE 🫵🏽

Utekaji na mauaji ya kisiasa ni projection ya woga na upungufu wa legitimacy. Mhalifu hawezi kuwa kiongozi halali. Psychological guilt haifutwi kwa power play. Taifa hili si monarchy ni civic space ya watu wote. Hatutanyamaza na Tutasema mpaka pale haki itapomaliza woga
#NRNE 🫵🏽
Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Tanzania ina wasomi zaidi ya milioni 1.5, lakini takribani 700,000 wamebaki structurally unemployed. Waliopo kwenye ajira ni chini ya 500,000, wengi wao wakiwa non-academics. Huu ni intellectual redundancy. Taifa linajichimbia kaburi. CCM you are engineering national decay. 🚮

Leo TLS anarejea mahakamani kudai haki yake kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 13(6)(a) na 26(2) akitumia GN No. 304/2014. Haki haijawahi kumpotea. Tunakwenda kujifunza constitutional reasoning na sio mawakili wa Jamhuri wakipayuka kwa kutumia S.89 Penal Code na CPA S.148 nje ya hoja.

Elimu yetu inazalisha vyeti, si maisha. Vijana wamejaa mitaani na serikali ndiyo iliwaahidi ajira. Mimi nina PhD ya Saikolojia (Makerere) na elimu ya uchumi (UDSM), lakini sijawahi kuajiriwa. Serikali haitumii wasomi huru, inapenda wanaotiifu tu. Tunahitaji mfumo mpya sio ahadi.

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

CCM mme-normalize umaskini. Mmegeuza rasilimali kuwa private wealth ya wachache, huku majority wakiteseka. Huu ni deliberate oppression. Kama truly tunapata maendeleo, why is healthcare a privilege? Why is education unreachable kwa maskini? Where is the justice in this system?

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ushahidi wa siri uliowahi kuwepo; huo ni fiction inayokiuka Katiba ya JMT Ibara 13(6)(a) na Sheria ya Ushahidi Cap. 6 R.E 2022 inayotaka transparency ya ushahidi. Shahidi wa siri bila msingi ni psychological intimidation na abuse of due process ni uvunjifu wa rule of law.

Hata iweje, mateso mliyompa SATIVA ni gross violation ya Katiba Ibara 12(2), 13(6)(d) na Penal Code S.24. Torture ni marufuku kabisa chini ya sheria za JMT na mikataba ya kimataifa (ICCPR, CAT). Hatutaki kujua nani ila kwa ukatili huu, lazima mtalipa! accountability is inevitable

Tutapoteza wengi na kuacha wengi njiani, lakini the mission remains unstoppable. Haki haijawahi kufilisika mbele ya mabavu. Tusiwahi retreat katika haya mapambano ya kinyama yanayotutega na kutuangamiza. Ushindi wetu utakuwa wa kishindo, na Mungu atakuwa our ultimate defender.

Endeleeni na mauaji, mtuue wote mtumalize ili mfanikishe utawala wa hofu mnaoutamani. Lakini kama mna dhani tukiendelea kuishi tutanyamaza kwa kuogopa kifo, basi mpo kwenye delusion kubwa, roho zetu zimejengeka kwa defiance na damu zetu zitapaza sauti hata baada ya kututokomeza!

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana Watanzania. Hii ni ishara kwamba tukiamua hawa watu waovu tutawashinda, kila mtu akiona shida ya mwenzake ni yake tutaokoa Nchi hii. Tukijitoa kwa kidogo kidogo kwenye tatizo la kila mmoja wetu tutafanikiwa. Tujenge spirit ya kwamba shida yako ni shida yangu,

Asanteni sana Watanzania.

Hii ni ishara kwamba tukiamua hawa watu waovu tutawashinda, kila mtu akiona shida ya mwenzake ni yake tutaokoa Nchi hii.

Tukijitoa kwa kidogo kidogo kwenye tatizo la kila mmoja wetu tutafanikiwa. 

Tujenge spirit ya kwamba shida yako ni shida yangu,
Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

Wanaotumia mamlaka kuonea, kupora, na kufisidi hawataepuka gharama ya historia. There will be accountability. Hakuna damu itakayomwagika bure. Maumivu haya yatageuka moto wa mabadiliko. Justice delayed is not justice denied it's fuel for rage. Watalipa. Kwa kila sauti waliyozima.

Professional Adventure Guide 🇹🇿 (@emilitheguide) 's Twitter Profile Photo

CCM mnadaiwa kuendesha party funding kwa kutumia kodi za wananchi bila uwazi na accountability. Hii ni blatant abuse of public resources, kinyume na Katiba na principles za good governance. Pesa mnazotumia si mali binafsi ni fedha za umma. Hii ni ufisadi na breach of public trust

Yanga wamevunja FIFA Statutes 4(2) na Code of Ethics 14 vinavyolinda political neutrality. Ni blatant third-party interference na direct breach ya Laws of the Game 4. Sisi kama Citizens na fans wa Yanga hatutakuwa tayari kunyanaza huu ni usaliti wa integrity na uhuru wa mpira. 🚮