Night outs na squad huwa funny bana. Mnaanzanga vizuri halafu ikifika 1 vituko zinaanza. Mara kuna msee amepotea, kuna mwingine mnashikilia asipigane na bouncer, kuna madem ka watatu wanalia bure halafu kuna yule champ alizima 11 saa hii ndio anarespawn aendelee na sherehe😂
Let me summarize this.
“You rejected the finance bill so now we’re going to punish you by saying that we don’t have money.”
#RutoMustGo
#NakhumichaMustGo
#PostMedicalInterns