Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile
Rajamu

@dadaconso

Consultant| Fundi| I travel a lot| Hodophile| I'm Not here to impress you| I can fulfill your deepest desires| Universe's last born🤌🏽

ID: 377864813

calendar_today22-09-2011 07:26:28

525,525K Tweet

36,36K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

#PolicyForumBreakfastDebate ikishirikiana na Ubalozi wa Ireland inahamia Dodoma Mwezi huu. Mjadala utagusia jinsi tunavyoweza kutengeneza serikali inayoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Muda ni kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 4:00 asubuhi, Morena Hotel. Karibu

#PolicyForumBreakfastDebate ikishirikiana na Ubalozi wa Ireland  inahamia Dodoma Mwezi huu. 

Mjadala utagusia jinsi tunavyoweza kutengeneza serikali inayoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Muda ni kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 4:00 asubuhi, Morena Hotel. Karibu
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

UNESCO inafurahia kushirikiana na Ubalozi wa Marekani katika challenge hii ya ubunifu, kwani tumeona jinsi teknolojia inavyoweza kuboresha upatikanaji wa habari na kusaidia kutambua taarifa sahihi kutoka kwa zile zisizo sahihi." Michel Toto, UNESCO. #USTZTech

𝑀𝒶𝓃𝒹𝓎 🎀 ✶ (@mandylawani) 's Twitter Profile Photo

people without kids or people who simply don’t want kids, tend to understand the responsibility it takes to raise them…sometimes more than people with children. hence as to why they don’t have them.

Mpishi 🤎✨ (@msosi_flavour) 's Twitter Profile Photo

Foil choma 😍😍😍 Unapata na chips, ugali, Ndizi mzuzu, wali, pilau (kwa order) Namba ya order; 0625198207 Tunapatikana; Andrew’s Lounge Tgarden, Sinza lion bus stop. Tunafanya delivery kwa haraka Karibuni sana 🫶🏼