Peter Isack (@bronxpizzo) 's Twitter Profile
Peter Isack

@bronxpizzo

ID: 1697263666310369280

calendar_today31-08-2023 15:03:32

825 Tweet

514 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Milca (@milcamuranda) 's Twitter Profile Photo

Bachelor jitahidi uwe na; 1. Kitanda 2. Sofa 3. Kabati la nguo na viatu 4. TV pana pana kidogo 5. Fridge 6. Radio 7. Leseni 8. Mchongo mdogo wa kukupa chakula Ukimaliza hapo add 1. Kiwanja 2. Business 3. Mtoto 4. Nyumba na usafiri Then ishi single.

I AM FREDDIE (MIMI NI MJASIRIAMALI HALISI) 🌍 (@iamfreddie8) 's Twitter Profile Photo

Ehh! M/MUNGU Tunakushukuru kwa upendo wako juu yetu. Umekuwa mwema sana kwetu Asante. Tuna maomba leo tena, kabariki harakati zetu, katupe ulinzi tuwapo mabarabarani, kawape ulinzi watoto wetu, kaongoze fikra na kipato chetu. Na pia jaza imani zetu juu ya uwepo wako. Amiin🙏

Ehh! M/MUNGU  Tunakushukuru kwa upendo wako juu yetu. Umekuwa mwema sana kwetu Asante.

Tuna maomba leo tena, kabariki harakati zetu, katupe ulinzi tuwapo mabarabarani, kawape ulinzi watoto wetu, kaongoze fikra na kipato chetu.  Na pia jaza imani zetu juu ya uwepo wako.

Amiin🙏
Young Africans SC English (@youngafricansen) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #PreSeasonTour🇿🇦 ⚽️ TS Galaxy🇿🇦🆚Young Africans SC🇹🇿 📆 24.07.2024 🏟 Kanyamazane Stadium 🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿 📺 LIVE: AzamSports1HD #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 

🏆 #PreSeasonTour🇿🇦 
⚽️ TS Galaxy🇿🇦🆚Young Africans SC🇹🇿
📆 24.07.2024
🏟 Kanyamazane Stadium 
🕖 15H00🇿🇦 16H00🇹🇿
📺 LIVE: AzamSports1HD

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
MZEE NYOKO (@mzee_nyoko) 's Twitter Profile Photo

Aisee hii ndio connection nimeangaika kuipata kuliko zote kuwahi kutokea Ila hatimae mzigo nimeupata🙌 Mimi sinaga Baya kama kawaida yangu nikipata nasambaza anae taka mzigo comment 👇 "nigawie DHAmbi" Hakikisha ume RT post na kunifollow bhas mi naweka DM kwako

Aisee hii ndio connection nimeangaika kuipata kuliko zote kuwahi kutokea Ila hatimae mzigo nimeupata🙌

Mimi sinaga Baya kama kawaida yangu nikipata nasambaza anae taka mzigo comment 👇

"nigawie DHAmbi"

Hakikisha ume RT post na kunifollow bhas mi naweka DM kwako
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐊𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎 <𝐒𝐎𝐋𝐃 𝐎𝐔𝐓>🔰🙌🏽 𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈 la Wananchi twendeni kwenye 𝐌𝐀𝐂𝐇𝐔𝐍𝐆𝐖𝐀 sasa💨 #NyieHamuogopi #TimuYaWananchi #WikiYaMwananchi2024 #DaimaMbeleNyumaMwiko

𝐌𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐊𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎𝐎 &lt;𝐒𝐎𝐋𝐃 𝐎𝐔𝐓&gt;🔰🙌🏽

𝐉𝐄𝐒𝐇𝐈 la Wananchi twendeni kwenye 𝐌𝐀𝐂𝐇𝐔𝐍𝐆𝐖𝐀 sasa💨 #NyieHamuogopi 

#TimuYaWananchi 
#WikiYaMwananchi2024
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Shukrani kwa Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Kilele Cha Wiki Ya Mwananchi 2024. Ilikuwa siku bora kwetu sote na kwa hakika historia imeandikwa. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Shukrani kwa Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Kilele Cha Wiki Ya Mwananchi 2024. Ilikuwa siku bora kwetu sote na kwa hakika historia imeandikwa. 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Malkia Nyuki 👑 (@nyuki_malkia) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA RETWEET WADAU 📌📌 Hivi ulishawahi jiuliza wapi utapata suluhisho la tatizo na nguvu za kiume Unashindwa kuwaridhisha wanawake kitandani unakuwa mnyonge hujiamini kisa uume hausimami vizuri unamwaga mapema sana unachoka mapema sana Basi MASAI ndio ana dawa bora sana kwa

NAOMBA RETWEET WADAU 📌📌
Hivi ulishawahi jiuliza wapi utapata suluhisho la tatizo na nguvu za kiume

Unashindwa kuwaridhisha wanawake kitandani unakuwa mnyonge hujiamini kisa uume hausimami vizuri unamwaga mapema sana unachoka mapema sana 

Basi MASAI ndio ana dawa bora sana kwa
Ali Kamwe (@alikamwe) 's Twitter Profile Photo

Young Africans Sports Club ndio Timu PEKEE ambayo haijaruhusu GOLI Msimu huu kwenye Ligi Kuu ya NBC.. Mechi 4️⃣ Goli za kufunga 8️⃣ Goli za kufungwa 0️⃣ CLUB ABOVE ALL 🔰📌

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Washkaji walikutana na rafiki yao wa zamani akiwa amepigika ile mabaya! Katika story Jamaa akawaambia wanae kwamba ana plan ya kuwa mkulima, lakini kipengele kilikuwa ni kupata mtaji kwa ajili ya kununua equipment, pembejeo na ku-setup irrigation scheme. Soma Zaidi:👇👇

Washkaji walikutana na rafiki yao wa zamani akiwa amepigika ile mabaya! 

Katika story Jamaa akawaambia wanae kwamba ana plan ya kuwa mkulima, lakini kipengele kilikuwa ni kupata mtaji kwa ajili ya kununua equipment, pembejeo na ku-setup irrigation scheme.

Soma Zaidi:👇👇
Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

⏳ Walichofanya wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwa Wiki iliyopita. . 🧵Nimekusogezea taarifa 10 KONKI za Watanzania waliopo ughaibuni na maendeleo yao kwa wiki iliyopita yakiwemo magoli yao makali 🔥 . NB: Naomba Shuka na Uzi kisha U-RETWEET 🙏🏿👇

⏳ Walichofanya wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje ya Nchi kwa Wiki iliyopita. 
.
🧵Nimekusogezea taarifa 10 KONKI za Watanzania waliopo ughaibuni na maendeleo yao kwa wiki iliyopita yakiwemo magoli yao makali 🔥
.
NB: Naomba Shuka na Uzi kisha U-RETWEET 🙏🏿👇
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Baba yako akifariki utapigana vita ya maisha mwenyewe bila kiongozi. Kama baba yako yupo hai, respect that dude—akikuita kimbia mwendo wa ngiri mkia juu na umskilize. Kwa wale ambao wameshawapoteza baba zao, poleni sana— I share your pain.

Baba yako akifariki utapigana vita ya maisha mwenyewe bila kiongozi. Kama baba yako yupo hai, respect that dude—akikuita kimbia mwendo wa ngiri mkia juu na umskilize. Kwa wale ambao wameshawapoteza baba zao, poleni sana— I share your pain.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wenu wa Ligi Kuu. #KariakooDerby Nawatakia nyote kheri katika michezo yenu inayofuata. Endeleeni kutupa burudani huku Taifa likiendelea kuchapa kazi kwa amani, umoja, utulivu na mshikamano.

Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wenu wa Ligi Kuu. #KariakooDerby 

Nawatakia nyote kheri katika michezo yenu inayofuata. Endeleeni kutupa burudani huku Taifa likiendelea kuchapa kazi kwa amani, umoja, utulivu na mshikamano.