MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile
MWASILE BENJAMINI

@benjaminim18670

Agricultural scientists, Horticulturist, Agricultural Tutor, Agricultural Coach, and Analyst

ID: 1643597014259716100

linkhttp://www.mwasile.ac.tz calendar_today05-04-2023 12:53:23

24 Tweet

67 Takipçi

695 Takip Edilen

MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Maamuzi ni pamoja na kuamua kuchagua chaguzi moja kuwa Wa Moto Au Wa baridi na sio kuwa vuguvugu barudibaridi motomoto No Ukiamua kuwa kwa shetani kuwa kwa shetani the same wise ukiamua kuwa wa Mungu kuwa Wa Mungu

MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Hekima sio Shikamoo Bali ni kujitambua binafsi kuwa wewe ninani na unapaswa kufanya nini kwa muda gani, kwakiwango gani, kwamanufaa gani, na ili iweje,

MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Neno "MSAMAHA " ni zaidi ya Pole, Ahsante, na neno lolote nzuri la "FARAJA" Kwenye mhimili wa maisha Mara nyingi hua shampoo matumaini mapya, hufukia mabonde, hupoza vidonda, hujenga Amani, mshikamano, Upendo, Umoja, na kufukia mabaya, na kufanya kufungua Ukurasa Mpya kabisa.

Kuna Muda tunawafariji watu kwa maneno Matamu na mazuri Ambayo hata sisi wenyewe hatujawahi kuyapata na tunataamani tuyapate walau

Marazote marafiki zako , ndugu zako, jamaa zako , na watu wako wakaribu huwa na wewe wakati wa raha, furaha na Amani tu Lakini ukumbuke wengi wao ndio maadui wa mafanikio na maisha yako na wale uwadhaniao maadui ndio hufanyika msaada kwa kukupa umbea ni jinsi gani unawindwa

Mungu Angelikua na Mawazo kama ya Shangazi Sijui Ingelikuaje bahati Nzuri yeye Ni Mwingi wa Fadhira na rehema Anawaza kinyume na tunavowaza sie

Ulimwengu wa Utajiri ni fumbo kubwa hutekwa na Watu wenye, Nidhamu, Uvumilivu, wasiri, wachapa kazi, wenye nguvu, Wenye msimamo Thabiti na Uthubutu, Ukiona Huna hivyo vyote ujue huwezi kuuteka huo Ulimwengu utaishia kuusoma utajiri na kuuota tu

Kuanzia kesho Nitaanza rasimi kuchapisha makala mbalimbali zihusuzo Mafanikio kupitia biashara Kilimo, na mifugo, hivo endelea kuufatilia kwa umakini huu Ukurasa wangu mengi mazuri yaja

Je wajua Miche ya matunda inashika kasi Sanaa siku hizi na yaweza kukupatia mamilions ya fedha Yes Miti ya matunda haswaa Miparachichi, ndimu, miembe, iliyopandikizwa ndiyo inayozungumuziwa zaidi hapa Natoa huduma hiyo piga simu namba 0712481058

Je wajua Miche ya matunda inashika kasi Sanaa siku hizi na yaweza kukupatia mamilions ya fedha Yes Miti ya matunda haswaa Miparachichi, ndimu, miembe, iliyopandikizwa ndiyo inayozungumuziwa zaidi hapa 
Natoa huduma hiyo piga simu namba 0712481058
MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Jopo la wataalam na Maafisa Ugani Wa Bodi ya korosho Tanzania(Cashewnut BoardOfTanzania) (🇹🇿) Leo tarehe 25 ndani Ya Ukumbi wa mikutano Halmashauri ya Mtama mkoani lindi tukiwa tunateta mambo mbalimbali yahusuyo wakulima wa zao la korosho

Ignorant Is a Temporary situation/short time behaviour situation and can be solved by learning, But Stupidity is Permanent situation/ longtime behaviour situation and can't be changed even if education or learning provided, also doesn't need to learn a newthings,

Today Is A super Sunday let's learn JOHN 3:16 It explains how the Love of God is great and how he loved his Own and Special Son for Our life And for Everyone who believe will live the external life

MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Kumbuka kuwa kila siku zinapoongezeka Majukumu huzidi kuongezeka , Muda unapungua, Kwenye fainari ya maisha muda ndio mtaji pekee unaoweza kukusaidia kusonga mbele

MWASILE BENJAMINI (@benjaminim18670) 's Twitter Profile Photo

Amani, Upendo, Utulivu, mshikamano, umoja, Bidii, Bila Uwepo wa Haki ni Sawa na Maigizo tu Hakuna Haki pasipo na Amani ( No peace Without Justice ) WAKILI WANGU AMENIKATAZA NISIENDELEE KUBWABWAJA NISIJE CHUKULIWA HATUA NAWATAKIA USIKU MWEMA WAFUASI WANGU WA NGUVU NAWAPENDA SANA

Amani, Upendo, Utulivu, mshikamano,  umoja, Bidii, Bila Uwepo wa Haki ni Sawa na Maigizo tu Hakuna Haki pasipo na Amani ( No peace Without Justice )
WAKILI WANGU AMENIKATAZA NISIENDELEE KUBWABWAJA NISIJE CHUKULIWA HATUA 
NAWATAKIA USIKU MWEMA WAFUASI WANGU WA NGUVU NAWAPENDA SANA