barakachedego (@barakachedego) 's Twitter Profile
barakachedego

@barakachedego

Read, Make mistakes, Listen and Learn.

ID: 838833139

calendar_today22-09-2012 00:56:19

10,10K Tweet

3,3K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Modesta Z (@modestaz7) 's Twitter Profile Photo

"MULIKA Tanzania ipo kuwaangazia njia ya mafanikio. Tunataka muone mkopo si mzigo, bali fursa ya kuanza safari ya kiuchumi. Tupo nanyi bega kwa bega hadi mfikie malengo yenu" — Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi Siku ya tatu ya mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi. #YouthEmpowermentTz

"MULIKA Tanzania ipo kuwaangazia njia ya mafanikio. Tunataka muone mkopo si mzigo, bali fursa ya kuanza safari ya kiuchumi. Tupo nanyi bega kwa bega hadi mfikie malengo yenu"
— Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi

Siku ya tatu ya mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi.

#YouthEmpowermentTz
숨겨진속삭임 (@kijangwairene) 's Twitter Profile Photo

Johnbest Mwahaja (@johniezebest) 's Twitter Profile Photo

Siku ya tatu ya mafunzo ya Uwezeshaji Kiuchumi kwa akina mama vijana waliopata watoto wakiwa katika umri mdogo, yameendelea katika Kata ya Kiwalani, Mtaa wa Yombo. Mafunzo yanalenga kuwajengea uwezo wa kujitegemea na kuinua maisha yao kiuchumi. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Siku ya tatu ya mafunzo ya Uwezeshaji Kiuchumi kwa akina mama vijana waliopata watoto wakiwa katika umri mdogo, yameendelea katika Kata ya Kiwalani, Mtaa wa Yombo. Mafunzo yanalenga kuwajengea uwezo wa kujitegemea na kuinua maisha yao kiuchumi.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Madam Shayo, Mtendaji mtaa wa Yombo. Akiongea na washiriki wa mafunzo amewaambia Changamoto si mwisho ni daraja la mafanikio. MULIKA & KIWOHEDE wamewaletea maarifa na fursa za kujitegemea kiuchumi. Shikilia kila nafasi kwa matumaini na busara. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Madam Shayo, Mtendaji mtaa wa  Yombo. Akiongea na washiriki wa mafunzo amewaambia Changamoto si mwisho ni daraja la mafanikio. MULIKA & KIWOHEDE wamewaletea maarifa na fursa za kujitegemea kiuchumi. Shikilia kila nafasi kwa matumaini na busara. 

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Babu kipara (@babu_kipara) 's Twitter Profile Photo

"MULIKA Tanzania ipo kuwaangazia njia ya mafanikio. Tunataka muone mkopo si mzigo, bali fursa ya kuanza safari ya kiuchumi. Tupo nanyi bega kwa bega hadi mfikie malengo yenu" — Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi Siku ya tatu ya mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi. #YouthEmpowermentTz

"MULIKA Tanzania ipo kuwaangazia njia ya mafanikio. Tunataka muone mkopo si mzigo, bali fursa ya kuanza safari ya kiuchumi. Tupo nanyi bega kwa bega hadi mfikie malengo yenu"
— Winfrida Mponzi, Mkuu wa Mradi

Siku ya tatu ya mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi.

#YouthEmpowermentTz
Babu kipara (@babu_kipara) 's Twitter Profile Photo

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

"Halmashauri zote nchini zinatoa fursa za mikopo kwa makundi matatu, ambayo ni vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Lakini sisi tutajikita zaidi kwa vijana kama mradi wetu unavyosema kuwawezesha vijana kiuchumi." ~ Grace Minja, Afisa Vijana

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

"Kila biashara huanza na wazo, lakini mafanikio huja kwa kuwa na malengo. Usiendeshe tu biashara iendeshe kwa dira. Malengo ni dira ya mafanikio, bila hayo unatembea gizani. Vijana tuchukue hatua, tuwe mabingwa wa uchumi wetu." ~ Neema Mwanjala. #YouthEmpowermentTz

"Kila biashara huanza na wazo, lakini mafanikio huja kwa kuwa na malengo. Usiendeshe tu biashara iendeshe kwa dira. Malengo ni dira ya mafanikio, bila hayo unatembea gizani. Vijana tuchukue hatua, tuwe mabingwa wa uchumi wetu." ~ Neema Mwanjala.
#YouthEmpowermentTz
Modesta Z (@modestaz7) 's Twitter Profile Photo

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda. Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi  ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda.

Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Babu kipara (@babu_kipara) 's Twitter Profile Photo

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda. Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255 |

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi  ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda.

Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255 |
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda. Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Mikopo ya 10% kutoka halmashauri si zawadi  ni haki yako kisheria. Vijana shirikianeni, wekeni na mipango na mawazo ya pamoja ya biashara, hakuna kinachowashinda.

Jiunge na kikundi, weka ndoto zako kwenye mpango, na kamata fursa ya maendeleo.

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Ipyana M.K. (@ipyanajr007) 's Twitter Profile Photo

Lolo☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

"Maendeleo huanzia kwenye mpango sahihi, katiba thabiti, na ushirikiano. Wanawake na vijana wanapoungana kwenye vikundi vyenye usajili halali, wanajenga daraja la fursa kutoka mikopo hadi mafanikio ya kiuchumi." ~ Mwanaisha Ally, Afisa Maendeleo #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

"Maendeleo huanzia kwenye mpango sahihi, katiba thabiti, na ushirikiano. Wanawake na vijana wanapoungana kwenye vikundi vyenye usajili halali, wanajenga daraja la fursa kutoka mikopo hadi mafanikio ya kiuchumi."
~ Mwanaisha Ally, Afisa Maendeleo

#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Mulika Tanzania (@mulika255) 's Twitter Profile Photo

Baada ya siku tatu za mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi kwa wasichana waliopata watoto wakiwa katika umri mdogo kutoka mitaa ya Kata ya Kiwalani picha ya pamoja ya wakufunzi,washirki na viongozi wa Mulika baada ya kumaliza mafunzo. #YouthEmpowermentTz | #Mulika255

Baada ya siku tatu za mafunzo ya uwezeshaji kiuchumi kwa wasichana waliopata watoto wakiwa katika umri mdogo kutoka mitaa ya Kata ya Kiwalani picha ya pamoja ya wakufunzi,washirki na viongozi wa Mulika baada ya kumaliza mafunzo.

barakachedego (@barakachedego) 's Twitter Profile Photo