Kinenula MadavaJr (@bangi7bangi) 's Twitter Profile
Kinenula MadavaJr

@bangi7bangi

I love Jesus

ID: 1459214039314317313

calendar_today12-11-2021 17:39:02

2,2K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 149 Waheshimiwa Majaji, naomba niende kwenye hoja ya tano; Naomba kurejea kesi zifuatazo High hope international group Jiangsu native produce import and export cooporation limited vs JOC Textile (Tanzania Company Limited) Misc. Commercial

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 150 Anaendelea Mhe. Lissu Hivyo naomba sheria hii kama Jaji Mtembwa aliitumia, naiomba Mahakama hii isiendelee kukosea, isiendelee kuitumia. Waheshimiwa Majaji mkiangalia sheria namba 7 ya 2018 utaona imeandikwa kwenye header note kuwa sheria hii

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Watanzania wameamua kupeleka Tuzo ZAMBIA mwaka huu. "SAVATIR" huyu ni ndugu yangu kabisa. Unaweza kumpigia Kura akashinda tuzo hii ya "ZIKOMO AWARDS" REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎

Watanzania wameamua kupeleka Tuzo ZAMBIA mwaka huu. 

"SAVATIR" huyu ni ndugu yangu kabisa. Unaweza kumpigia Kura akashinda tuzo hii ya "ZIKOMO AWARDS"

REPOST 500

TUTAKUWEPO🫵😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

"Ni juzi tu watu wamekufa kama panya alafu tunaambiwa usiseme hicho, na sisi tumekuwa wapumbavu tunadhani hizi ni zama kama zile za mababu". Padre Parokia ya kiwanja cha Ndege Dodoma. REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

GEN Z WAMEKAMILISHA JAMBO LAO.🔥 BABA LISSU KACHANGIWA 26M ndani ya MASAA 48. Hii ilikuwa maalumu kama njia ya kumtia Moyo mzee wetu ambae yupo kwenye kuta za magereza kwa siku 272 sasa. Wakoloni weusi walimuweka JELA ili tumsahau ila GEN Z wakagoma na kuamua kumkumbuka kwa

GEN Z WAMEKAMILISHA JAMBO LAO.🔥

BABA LISSU KACHANGIWA 26M ndani ya MASAA 48.

Hii ilikuwa maalumu kama njia ya kumtia Moyo mzee wetu ambae yupo kwenye kuta za magereza kwa siku 272 sasa.

Wakoloni weusi walimuweka JELA ili tumsahau ila GEN Z wakagoma na kuamua kumkumbuka kwa
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 9, 2026 Last time tuliishia Part 150 so leo tutaendelea na-; Part 151. Ameingia Mheshimiwa Lissu, zimepigwa kelele nyingi sana hapa Mahakamani ni kelele za Rais! Rais! Rais! Mhe. Lissu amepiga kombati ya kaki, ameingia kwa vibe sana.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 152 Anaendelea Mhe. Lissu. Tuna haki yakutembelewa, waheshimiwa Majaji kuna masharti kwenye hiyo kanuni ikiwemo sharti la kutembelewa na mfungwa mwenzako, sharti lingine ni askari magereza wakuone na kukusikiliza ila kwa Mawakili kanuni haisemi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 153 Anaendelea Mhe. Lissu Hili ni kosa la kipekeee, angalieni ibara ya 28(4) ya Katiba ya JMT ndo kosa pekee la Jinai lililotajwa kwenye Katiba kwasababu sio kosa la kawaida. Kama hiyo ndio hoja kosa hili pia la Uhaini linapaswa kuwa na

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 154. Anaendelea Wakili wa Serikali Katuga. Mahakama hii tukufu ijiulize je shahidi huyu P11 ni mashahidi ambao wamelindwa akirejea kanuni ya 3 ya Kanuni za ulinzi wa Mashahidi akiwaambia pia Shahidi anayelindwa ni shahidi ambae yupo kwenye amri ya

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 155 Naomba nimalizie kwa upande wetu wa Serikali na tumuachie mwenzetu aweze kujibu na kuwasilisha Rejoinder yake. Jaji anawauliza mmemaliza Upande wa Mashitaka. Wanajibu wamemaliza. Mhe. Lissu anajiandaa kufanya rejoinder hapa. Anasimama

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 156 Anaendelea Mhe. Lissu Kifungu cha 282 cha CPA amekisoma Katuga hapa kwamba Mahakama inaweza ku regulate taratibu zake wakati wa kutekeleza wajibu wake wa jinai. Msifungwe sana na hizi kanuni maana mnaweza kuregulate procedure zenu. Sasa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 157 Anamalizia Mhe. Lissu Vinginevyo haitakuwa Mahakama ya Haki na kanuni zinataka usikilizwaji wa mashauri haya uwe wa haki kwa pande zote. Ni hayo tu waheshimiwa majaji. Anamaliza Mheshimiwa Lissu hapa. Majaji wanateta huku wakiandika