Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile
Azam FC

@azamfc

⚽ The Official Account of Azam Football Club
🏆 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
📅 Founded in July 23, 2004.
📱 #AzamFC #TimuBoraBidhaaBora

ID: 159797294

linkhttps://www.azamfc.co.tz calendar_today26-06-2010 10:45:44

12,12K Tweet

326,326K Takipçi

18 Takip Edilen

Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#FixturesRescheduled Tarehe mpya za mechi zetu mbili za mwisho za kumalizia msimu huu 2024/25 wa Ligi Kuu ya NBC. (H) 🆚 Tabora United (June 18, 2025) (A) 🆚 Fountain Gate (June 22, 2025) #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora

#FixturesRescheduled Tarehe mpya za mechi zetu mbili za mwisho za kumalizia msimu huu 2024/25 wa Ligi Kuu ya NBC.

(H) 🆚 Tabora United (June 18, 2025)

(A) 🆚 Fountain Gate (June 22, 2025)

#nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#AzamUdsmIntercollege Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kwenye fainali ya mashindano ya Azam FC - UDSM Intercollege. #azamfc #udsm #weareazamfc #timuborabidhaabora

#AzamUdsmIntercollege Michezo mbalimbali ikiendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex, kwenye fainali ya mashindano ya Azam FC - UDSM Intercollege.

#azamfc #udsm #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

Burudani zinaendelea ndani ya Uwanja wa Azam Complex kwenye fainali ya michuano ya Azam FC- UDSM. #azamfcudsmintercollegecompetition #weareazamfc #timuborabidhaabora

Burudani zinaendelea ndani ya Uwanja wa Azam Complex kwenye fainali ya michuano ya Azam FC- UDSM.

#azamfcudsmintercollegecompetition #weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#TANZIA Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025. #weareazamfc #timuborabidhaabora

#TANZIA 

Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025.

#weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

🚨 M A T C H D A Y 🚨 🆚 Dodoma Jiji 🏆 NBC Premier League ®️ Round 28 🏟 Azam Complex 🕰 7.00 PM (E.A.T) #weareazamfc #timuborabidhaabora

🚨 M A T C H D A Y 🚨
🆚 Dodoma Jiji 
🏆 NBC Premier League
®️ Round 28
🏟 Azam Complex 
🕰 7.00 PM (E.A.T)

#weareazamfc #timuborabidhaabora
Azam FC (@azamfc) 's Twitter Profile Photo

#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu ya NBC, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumanne saa 1.00 usiku. #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora

#AzamFCOfficialLineUp Kikosi chetu rasmi kitakachocheza dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu ya NBC, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex, leo Jumanne saa 1.00 usiku.

#nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora