Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile
Makinikia

@askofutza

Pancras Mayala Producer/Presenter @CloudsMediaLive

ID: 238493697

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today15-01-2011 08:57:30

15,15K Tweet

13,13K Takipçi

699 Takip Edilen

Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

🎶 you're the one in Milion, aje Jose Chameleone 'Sina valuvalu weweee 🎶 Mkali BIZNE$ hiki kihook uliua sana. Mpaka saivi hakuna mwanahiphop kafika levo hizi hata mwanao Mgosi hajafika.

Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

Yaan timu imeacha kuamini Wachezaji, Benchi la ufundi, wawekezaji na kwa sasa inaamini kushinda kupitia Uwanja.. Dah! Zaidi ya miaka 60+ ya Uhuru wa Nchi tunaamini Uwanja ndo utatupa matokeo sio Wachezaji 😃. Anyway tukutane ZENJI..

Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

Kama kunamtu hakuangalia fainali ya kwanza ya 'Kolo' na wahabeshi, Saivi Azam Tv wanairudia now, Tujikumbushe ili tuwe na uhakika mzuri j2 panapo majaaliwa.😃