Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile
Dr.Nchimbi

@_iamasa17

Specialist Of Non-Surgical Ocular Problems🥼 •||Ocular Health, Maintaining Good Vision and Eyesight+||•👓👁️ “AFYA YA MACHO%” Authentic

ID: 1629220056948154369

linkhttps://www.instagram.com/iam_asa_?igsh=MTc0YWh4NTJxeHRlcg%3D%3D&utm_source=qr calendar_today24-02-2023 20:42:57

13,13K Tweet

3,3K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

Chochote Unachokitafuta hapa duniani It's already On People's Hands. It's Either Money, Jobs, Experience, Education, Connections e.t.c Vyote Hivyo Vipo Mikononi mwa Watu,The only Way To Get Them is to be Humble, Disciplined,Kuwa Myenyekevu, Punguza Ujuaji,Lugha Mbaya na Maneno ya

Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

Usiende Bar au NightClub kusherekea mafanikio yako ambayo ulikesha kwa maombi na kumlilia muumba wako ukiwa pekeako. Rudisha Baraka sehemu inayostaili.

Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

@MrIQ_01 Mafanikio katitka Maisha na hiyo bahati utaipata ukifanya kazi kwa makini na bidii kila siku..siku moja utafanikiwa-no day off.

Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

Kama unatumia simu au computer zaidi ya masaa matatu kwa siku bila kuvaa miwani special kwa jili ya kuzuia mionzi,unahatari kubwa ya kupata changamoto ya macho makavu.

Dr.Nchimbi (@_iamasa17) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake kama wengine wanavyokuzani kukawia,bali kuvumilia kwenu,maana hapendi mtu yeyote apotee,bali wote wafikilie toba. 2 petro 3:9.