TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profileg
TOT Academy

@TOTAcademy

Tanzanians On Twitter building capacity to Fellow Tanzanians. Training Organizers | Facilitators | Mentor-ship |

Part of @TOTBonanza

ID:1136037542451720192

calendar_today04-06-2019 22:30:31

282 Tweet

1,7K Takipçi

1 Takip Edilen

TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

Wajasiriamali wamekaa kimakundi wakijadili juu ya namna ya kuboresha biashara zao mtandaoni wakigusia upande wa Walengwa wa biashara na Mitandao husika katika kukuza biashara hizo,

Wajasiriamali wamekaa kimakundi wakijadili juu ya namna ya kuboresha biashara zao mtandaoni wakigusia upande wa Walengwa wa biashara na Mitandao husika katika kukuza biashara hizo, #TOTAcademy #TOTBonanza
account_circle
TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

' Ni vizuri ukatenga muda wako na kuzungumza na wateja wako, hii itakusaidia zaidi kutambua mahitaji yao, maboresho, katika kukuza biashara yako' - Mr Owino

' Ni vizuri ukatenga muda wako na kuzungumza na wateja wako, hii itakusaidia zaidi kutambua mahitaji yao, maboresho, katika kukuza biashara yako' - Mr Owino #TOTAcademy #TOTBonanza
account_circle
TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

'Changamoto kubwa wanazo kutana nazo wajasiriamali mtandaoni ni;
- Uaminifu
- Followers vs Customers
- Getting the right Audience
- Creativity
- Retaining Customers ' - Mr Owino

'Changamoto kubwa wanazo kutana nazo wajasiriamali mtandaoni ni; - Uaminifu - Followers vs Customers - Getting the right Audience - Creativity - Retaining Customers ' - Mr Owino #TOTAcademy #TOTBonanza
account_circle
TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

'Ni muhimu kutambua lengo la biashara yako, kwani maamuzi yote utakayo fanya juu ya Biashara yako yatategemea zaidi lengo hilo, - kai

'Ni muhimu kutambua lengo la biashara yako, kwani maamuzi yote utakayo fanya juu ya Biashara yako yatategemea zaidi lengo hilo, - @kaimollel #TOTAcademy #TOTBonanza
account_circle
TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

' Ni muhimu sana kufahamu tabia ya mteja wako ili uweze kumuhudumia mteja wako vizuri, Kujenga uaminifu kwa mteja kunazingatia zaidi namna unavyo mhudumia mteja' - Bernard Mwakililo

' Ni muhimu sana kufahamu tabia ya mteja wako ili uweze kumuhudumia mteja wako vizuri, Kujenga uaminifu kwa mteja kunazingatia zaidi namna unavyo mhudumia mteja' - Bernard Mwakililo #TOTAcademy #TOTBonanza
account_circle
TOT Academy(@TOTAcademy) 's Twitter Profile Photo

Darasa la Wajasiriamali limeanza hapa Ndoto Hub na anaye tufungulia darasa letu ni Ndg. Bernard Mwakililo, akielezea Juu ya Matumizi ya Teknolojia kwenye kukuza Biashara.

account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Oya C H A M P unaambiwa usi share kila siku masabuni kuna siku unaweza weka kutumia angle mbalimbali kama Ushuhuda wa watumizi wa sabuni

account_circle
The Man Himself. 😎💪🏾(@Elycaptano) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Wajasiriamali wakiendelea kupata Ujuzi juu ya namna bora ya kuboresha Biashara zao, Mafunzo haya ni mueleko kwa Shughuli yenyewe ya Jumamosi tarehe 28-11-2020. USIKOSE!

Baadhi ya Wajasiriamali wakiendelea kupata Ujuzi juu ya namna bora ya kuboresha Biashara zao, Mafunzo haya ni mueleko kwa Shughuli yenyewe ya #TOTBonanza Jumamosi tarehe 28-11-2020. USIKOSE!
account_circle
Sahara Sparks(@SparkSahara) 's Twitter Profile Photo

Darasa linaendelea TOT Academy , Wajasiriamali wakipokea mafunzo kutoka kwa mbobezi wa masuala ya huduma za mtandao na kidijitali Gillsant v7.5 , Wajasiriamali wamefundishwa njia na mbinu za kutumia ambazo zitawasaidia wanapofanya biashara za mtandaoni

Darasa linaendelea @TOTAcademy , Wajasiriamali wakipokea mafunzo kutoka kwa mbobezi wa masuala ya huduma za mtandao na kidijitali @GillsaInt , Wajasiriamali wamefundishwa njia na mbinu za kutumia ambazo zitawasaidia wanapofanya biashara za mtandaoni #TOTBonanza
account_circle