Ligi Kuu
@tplboard
The Official Tanzania Premier League Board X Account
ID: 987239375615549441
http://www.ligikuu.co.tz 20-04-2018 07:59:43
8,8K Tweet
200,200K Followers
71 Following
#NBCPLUpdates #FullTime JKT Tanzania 0️⃣-0️⃣ Azam FC Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBCTanzania leo Agosti 29, 2024. Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
Vikosi vya kmcfc_official na Coastalunionfc leo kwenye uwanja wa KMC, DSM. Ligi Kuu @tanfootball NBCTanzania Azam TV TBCOnline
#NBCPLUpdates #FullTime KMC 1️⃣-1️⃣ Coastal Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
#NBCPLUpdates 65' Kagera Sugar 0️⃣-1️⃣ Yanga SC Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
#NBCPLUpdates #FullTime Kagera Sugar 0️⃣-2️⃣ Yanga SC Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
#NBCPLUpdates #FullTime Namungo 0️⃣-2️⃣ Fountain Gate Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV @tbconline
Katika mabao 22 yaliyofungwa kwenye michezo 13 ya Ligi Kuu ya NBC 2024/25, ni mabao matano (5) tu ndio yamefungwa kwa kichwa. Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
ASHRAF OMARY - Meneja Bora wa Uwanja, Agosti 2024. Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam. #TuzoZaMwezi #TuzoZaTFF Ligi Kuu @tanfootball NBC Championship League 🇹🇿 Tanzania First League 🇹🇿 NBCTanzania Azam TV TBCOnline
TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI KUU TANZANIA. Ligi Kuu TFF TANZANIA NBCTanzania Azam TV TBCOnline
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Steven Mnguto leo Septemba 5, 2024 amefungua kikao cha watendaji wakuu wa klabu za #ligikuu ya NBCTanzania na Bodi ya Ligi Kuu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Crowne Plaza, Dar es Salaam. @tanfootball Ligi Kuu NBCTanzania