tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile
tpa_tz

@tpa_tz

The Tanzania Ports Authority (TPA) was established by the Ports Act No. 17 of 2004 as landlord Port Authority.

ID: 1507016486900035590

linkhttp://www.ports.go.tz calendar_today24-03-2022 15:28:50

841 Tweet

2,2K Takipçi

155 Takip Edilen

tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali katika picha wakati Mabalozi wapya wanne, walipofanya ziara ya kikazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ili kujifunza shughuli za utekelezaji Bandarini na kufahamishwa masuala muhimu yatakayowasaidia katika nchi wanazokwenda kuiwakilisha Jamhuri

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imeahidi kuendeleza ushirikiano utakaochangia kuimarika na kuukua kwa sekta ya Uchukuzi baina yake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hususani bandari na reli kupitia mpango kazi wa FOCAC. Hayo yamejiri katika kikao baina ya Waziri wa

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imeahidi kuendeleza ushirikiano utakaochangia kuimarika na kuukua kwa sekta ya Uchukuzi baina yake na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hususani bandari na reli kupitia mpango kazi wa FOCAC.

Hayo yamejiri katika kikao baina ya Waziri wa
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Biashara Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Tang Wenhon Aprili 28,2025 amefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam ili kutazama maeneo ambayo nchi yake inakusudia kutoa ushirikiano utakaosaidia ukuaji wa sekta ya Uchukuzi kupitia mpango kazi wa Jukwaa la Ushirikiano

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) tunawatakia Watanzania wote heri ya siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi. “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi wanaojali haki na maslahi ya Wafanyakazi,sote tushiriki”.

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) tunawatakia Watanzania wote heri ya siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi.

“Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi wanaojali haki na maslahi ya Wafanyakazi,sote tushiriki”.
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mhe Hemed Suleiman Abdulla kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,tarehe 30 Aprili 2025, amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Mawakala wa Forodha Afrika Mashariki na Kati unaofanyika

TPA inawatakia Wanafunzi wote wa Kidato cha Sita kote Nchini, kila la kheri katika Mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari.

TPA inawatakia Wanafunzi wote wa Kidato cha Sita kote Nchini, kila la kheri katika Mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari.
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

The Deputy Consul General of the United Republic of Tanzania in the Democratic Republic of Congo (DRC), based in Lubumbashi, Hon. Mgeni Kazinyingi, together with the TPA Country Representative in Lubumbashi, Mr. Othman Mkangara, held a strategic meeting with the Vice Governor of

TPA YAPONYEZWA KWA TUZO YA BANDARI SHINDANI BARANI AFRIKA, TALTA YAZINDULIWA RASMI Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea tuzo maalum ya pongezi kwa mchango wake mkubwa katika kuzifanya Bandari za Tanzania kuwa miongoni mwa bandari shindani zaidi katika Ukanda

TPA YAPONYEZWA KWA TUZO YA BANDARI SHINDANI BARANI AFRIKA, TALTA YAZINDULIWA RASMI

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea tuzo maalum ya pongezi kwa mchango wake mkubwa katika kuzifanya Bandari za Tanzania kuwa miongoni mwa bandari shindani zaidi katika Ukanda
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiwasili katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ambapo leo tarehe 15 Mei 2025, anawasilisha Bungeni Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. #bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#2025/2026

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiwasili katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma ambapo leo tarehe 15 Mei 2025, anawasilisha Bungeni Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.

#bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#2025/2026
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

KUHUSU HUDUMA KATIKA BANDARI ZA DAR ES SALAAM, TANGA NA MTWARA #bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#bandari#2025/2026 📍 Bungeni, Dodoma 🗓️ Mei 15,2025

tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

USHIRIKISHWAJI WA SEKTA BINAFSI KATIKA UENDELEZAJI NA UENDESHAJI WA BANDARI NCHINI #bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#bandari#2025/2026 📍 Bungeni, Dodoma 🗓️ Mei 15,2025

tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

MUHTASARI WA MAOMBI YA FEDHA YA WIZARA YA UCHUKUZI KATIKA MWAKA WA FEDHA 2025/26. #bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#bandari#2025/2026 📍 Bungeni, Dodoma 🗓️ Mei 15,2025

tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, tarehe 15 Mei 2025,Bungeni Mjini Dodoma. #bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#bandari#2025/2026 📍 Bungeni, Dodoma 🗓️ Mei 15,2025

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha hotuba  ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, tarehe 15 Mei 2025,Bungeni Mjini Dodoma.

#bajeti#dodoma#bungeni#uchukuzi#bandari#2025/2026

📍 Bungeni, Dodoma

🗓️ Mei 15,2025
tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali katika Picha Bungeni Mjini Dodoma wakati Waheshimiwa Wabunge wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, tarehe 15 Mei 2025, iliyowasilishwa na Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Bungeni

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng’anzi Ulenge, wakati akichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, tarehe 15 Mei,2025 ambapo ametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa

tpa_tz (@tpa_tz) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Wanawake Wanaofanya kazi Sekta ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wametembelea Bandari ya Tanga na kuridhishwa na utendaji kazi katika bandari hiyo baada ya kukamilika kwa mradi wa maboresho ya bandari. Akiongea wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa

Umoja wa Wanawake Wanaofanya kazi Sekta ya Bahari  Mashariki na Kusini mwa Afrika  (WOMESA) wametembelea Bandari ya Tanga na  kuridhishwa  na utendaji kazi katika bandari hiyo baada ya kukamilika kwa mradi wa maboresho ya bandari.

Akiongea wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa