Kwa hiki anachotufanyia Azam tv kwetu sisi wateja wa Visimbuzi vya Antenna sio haki kabisa.
Kama ameshindwa kuhudumia aweke wazi.
Channel zimekata kwa watumiaji wa Visimbuzi vya Antenna.
Na vina shida mpaka Sasa ni miezi sita
Hili tatizo
Wahusika wafikishiwe hili Jambo
Morogoro