TMX (@tmx_tz) 's Twitter Profile
TMX

@tmx_tz

TMX is an organized marketplace, providing a platform where buyers and sellers come together to trade, assured of quality, quantity, payment, and delivery.

ID: 1026749690321285120

linkhttps://tmx.co.tz calendar_today07-08-2018 08:39:37

274 Tweet

1,1K Takipçi

231 Takip Edilen

TMX (@tmx_tz) 's Twitter Profile Photo

Online Commodity Trading - Daily Market Report on 21 July 2024 #online #commodity #trading instagram.com/p/C9rnASzoi0b/…

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

IMEBAKI SIKU MOJA TU: Jumuika nasi kuanzia tarehe 1 hadi 8 Agosti 2024 kwenye Viwanja vya Nane Nane Jijini Dodoma. Hii ni nafasi yako kuona taasisi kutoka sekta binafsi na umma zikionesha mafanikio yao. Usikose fursa hii ya kipekee! #MtaaWaNafaka #NaneNane2024 #KilimoNiMchongo

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Karibu #PlazaKidijitali kwenye #MtaaWaNafaka katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya #NaneNane2024 kuanzia tarehe 01 - 08 Agosti, 2024 Jijini Dodoma. TMX, Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB), Tume ya Maendeleo ya Ushirika - TCDC na Vodacom Tanzania #MamboMtandaoMinadaKidijitali #KilimoNiMchongo

Karibu #PlazaKidijitali kwenye #MtaaWaNafaka katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya #NaneNane2024 kuanzia tarehe 01 - 08 Agosti, 2024 Jijini Dodoma.

<a href="/tmx_tz/">TMX</a>, Bodi ya Stakabadhi za Ghala (WRRB), <a href="/ushirika_tcdc/">Tume ya Maendeleo ya Ushirika - TCDC</a> na <a href="/VodacomTanzania/">Vodacom Tanzania</a>

#MamboMtandaoMinadaKidijitali #KilimoNiMchongo
COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Bw. Goodluck Luhanjo, Afisa wa TEHAMA kutoka Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) akizungumzia kuhusu Mtaa wa Nafaka pamoja na Jukwaa la Kidijitali #NaneNane2024 #MamboMtandaoMinadaKidijitali #MtaaWaNafaka #KilimoNiMchongo

COPRA Tanzania (@copra_tz) 's Twitter Profile Photo

Ongezeko la uuzaji wa Ufuta kupitia mfumo ramsi wa Kidijitali wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) Msimu wa Mwaka 2024 na 2025. #MamboMtandaoMinadaKidijitali #MtaaWaNafaka #NaneNane2024 #KilimoNiMchongo