TANZANIA LABOUR PART (@tlp_tanzania) 's Twitter Profile
TANZANIA LABOUR PART

@tlp_tanzania

TLP NI CHAMA CHA SIASA NCHINI TANZANIA CHENYE USAJILI WA KUDUMU KINACHOJULIKANA KAMA TANZANIA LABOUR PARTY KILICHOANZISHWA MNAMO MWAKA 1992.

ID: 2900313124

calendar_today01-12-2014 07:37:09

93 Tweet

54 Followers

282 Following

TANZANIA LABOUR PART (@tlp_tanzania) 's Twitter Profile Photo

OMBI KWA VIJANA. tunaomba mwaka kesho wa uchaguzi wa udiwani na ubunge tungependa 60% ya vijana kujitokeza kugombea nafasi za uongozi.

Clouds FM (@cloudsfm) 's Twitter Profile Photo

Burundi,Uganda na zaongoza kwa ufisadi.Kulingana na ripoti ya shirika la Tranparency International ya mwaka... fb.me/2SNNnOkh5

TANZANIA LABOUR PART (@tlp_tanzania) 's Twitter Profile Photo

@bonsipele mi nashangaa mhe. maria kwann hataki kutuunga mkono katika kuhamasisha vijana kugombea wakati tumeona kazi ya vijana huko bungeni

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Katibu CCM achinjwa shingo Shinyanga na watu wasiojulikana akitokea katika mkutano wa Chama chake #MTANZANIA #Dec7 millardayo.com/1207-magazeti/

TANZANIA LABOUR PART (@tlp_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TLP TUNAPENDA NA TUNAWATAKIA WATANZANIA WOTE UCHAGUZI MAKINI NA WA AMANI. UCHAGUZI TANZANIA BILA VURUGU INAWEZEKANA. TANZANIA KWANZA.