Thømz (@thomzjoseph) 's Twitter Profile
Thømz

@thomzjoseph

#YANGA BINGWA🔰 #ManUtd die hard fan🔴

ID: 1527951633098977281

calendar_today21-05-2022 09:57:46

48,48K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Bony 📚 (@bonifacejoseph_) 's Twitter Profile Photo

Hii imewakuta pixel users wengi, hasa wanaotumia pixel 6a, Sio issue ya VPN Bali basdhi ya pixel 6a zilikuwa na battery ambazo ni michezo.!! Kama VPN ingekuwa jau, basi isingekuwa kwenye notification bar za Pixel 😂

Hii imewakuta pixel users wengi, hasa wanaotumia pixel 6a, Sio issue ya VPN Bali basdhi ya pixel 6a zilikuwa na battery ambazo ni michezo.!!

Kama VPN ingekuwa jau, basi isingekuwa kwenye notification bar za Pixel 😂
CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 OFFICIAL AND CONFIRMED. Pacome (22) amejiunga na Simba Kwa mkataba wa miaka miwili mpaka July 2027. Vyanzo vyangu vya kuaminika vimenitaarifu amepewa nyumba mbezi beach, Gari pamoja na ulinzi binafsi. Hakuna kitakachobadilika Pacome is RED.

🚨🚨
OFFICIAL AND CONFIRMED.

Pacome (22) amejiunga na Simba Kwa mkataba wa miaka miwili mpaka July 2027.

Vyanzo vyangu vya kuaminika vimenitaarifu amepewa nyumba mbezi beach, Gari pamoja na ulinzi binafsi.
Hakuna kitakachobadilika Pacome is RED.
misszider (@nyambizider) 's Twitter Profile Photo

Naomba Repost 🙏 Royalty modern furniture ni watengenezaji furniture zote Kwa meter square 🪑Mbao zake ni Mdf kutoka uturuki 💰Bei zetu ni nafuu 📍Tunapatikana Mbezi-Jogoo 🛻Huduma zinatolewa na mikoani pia 📞Call : 0683652764 📲Whatsapp:wa.me/+255683652764

Naomba Repost 🙏 Royalty modern furniture ni watengenezaji furniture zote Kwa meter square

🪑Mbao zake ni Mdf kutoka uturuki

  💰Bei zetu ni nafuu

📍Tunapatikana Mbezi-Jogoo

🛻Huduma zinatolewa na mikoani pia

📞Call : 0683652764
📲Whatsapp:wa.me/+255683652764
Thømz (@thomzjoseph) 's Twitter Profile Photo

Kumbe bodi ya ithibati imepiga wengi sana chini waliokuwa waandishi. Mchawi shule wazee na wala sio kitu kingine wanatakiwa waende😃

Fundi viatu na mabegi 🇹🇿 (@mshona_viatu) 's Twitter Profile Photo

Binafsi ningependa kuona Manchester United wanafocus na Ederson kwanza na sina maana mbaya kwamba Javi Guerra ni mbaya hapana bali naona hana ubora kama alonao Ederson.

Binafsi ningependa kuona Manchester United wanafocus na Ederson kwanza na sina maana mbaya kwamba Javi Guerra ni mbaya hapana bali naona hana ubora kama alonao Ederson.
wezzey (@kasimuabuu98) 's Twitter Profile Photo

BOOOOOOOOOM (PARIPESA BET OF THE DAY)🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅✅✅✅💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰Odds 10 1 cut! 1.6 MILLION SECURED.!, CONGRATULATIONS KWA HIGH STAKERS!(Stake Pakubwa, Piga Pakubwa)👏👏👏👏👏🫡 KUJISAJILI PARIPESA📌 Reg👉 : paripesa.bet/injinia isSUe🧠bOy

BOOOOOOOOOM
(PARIPESA BET OF THE DAY)🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅✅✅✅💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰Odds 10 1 cut!
1.6 MILLION SECURED.!, CONGRATULATIONS KWA HIGH STAKERS!(Stake Pakubwa, Piga Pakubwa)👏👏👏👏👏🫡

KUJISAJILI PARIPESA📌
Reg👉 : paripesa.bet/injinia
<a href="/the_engineer777/">isSUe🧠bOy</a>
MEKU (@meku_255) 's Twitter Profile Photo

Umri wa Mwajuma ni Mara tatu ya umri wa Hasani miaka sita ijayo jumla ya umri wao utakuwa miaka 60. Tafuta umri wa Mwajuma wa sasa.

Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

✍🏻Prince Dube(28), Clement Mzize(21), Andy Boyeli (24), Ange Celestin Ecua(22) Hawa wote ni washambuliaji wa kati kiasili , Mzize na Ange wanaweza pia kucheza wide Sasa tuangalie interm of Quality+Age+quantity+time +Experience Tuanze na (Quantity) Yanga wanakila kitu 👇🏾

✍🏻Prince Dube(28), Clement Mzize(21), Andy Boyeli (24), Ange Celestin Ecua(22) 

Hawa wote ni washambuliaji wa kati kiasili , Mzize na Ange wanaweza pia kucheza wide  

Sasa tuangalie interm of Quality+Age+quantity+time +Experience  

Tuanze na (Quantity) Yanga wanakila kitu 👇🏾
Moshi Jnr (@moshijnr) 's Twitter Profile Photo

🚨 Kiungo Lassine Kouma ameanza safari ya kuja nchini Tanzania ili kujiunga na klabu ya Yanga SC akitokea Stade Malien Yanga SC ilishakamilisha dili lake na kilichobaki ni kuwasili ili kusaini documents zote.

🚨 Kiungo Lassine Kouma ameanza safari ya kuja nchini Tanzania ili kujiunga na klabu ya Yanga SC akitokea Stade Malien

Yanga SC ilishakamilisha dili lake na kilichobaki ni kuwasili ili kusaini documents zote.