profile-img
Francis Kiwanga

@KiwangaFrancis

Executive Director-The Foundation for Civil Society-Tanzania | Transitioning towards legal consulting and real estate industries.

calendar_today19-01-2017 09:30:30

1,4K Tweets

5,1K Followers

392 Following

Francis Kiwanga(@KiwangaFrancis) 's Twitter Profile Photo

Nafurahi leo tumepata mkurugenzi mpya wa Foundation for Civil Society. Baada ya mchakato wa miezi mitano, bodi imemteua Bw. Justice Rutenge kuwa mkurugenzi mtendaji kuanzia tarehe 1.05.2024.

Naamini ya kwamba Bw. Rutenge ataleta mawazo na maarifa mapya ya kuendeleza taasisi kufikia malengo mahususi.

Nafurahi leo tumepata mkurugenzi mpya wa @FCSTZ. Baada ya mchakato wa miezi mitano, bodi imemteua Bw. @justicerutenge kuwa mkurugenzi mtendaji kuanzia tarehe 1.05.2024. Naamini ya kwamba Bw. Rutenge ataleta mawazo na maarifa mapya ya kuendeleza taasisi kufikia malengo mahususi.
account_circle
Francis Kiwanga(@KiwangaFrancis) 's Twitter Profile Photo

Francis Kiwanga Foundation for Civil Society Justice Rutenge Hongera kwa uongozi wako makini Kaka Francis Kiwanga

Unaacha asasi za kiraia za Tanzania pahali bora zaidi ya ulipozikuta

Na ninaamini Justice atakuwa kiongozi mahiri na kuipeleka FCS na AZAKI zetu mbele zaidi na zaidi ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

account_circle