Dickson (@thisisdickson) 's Twitter Profile
Dickson

@thisisdickson

Automotive Engineer

ID: 1002798476265250816

linkhttp://www.instagram.com/autofixit_ calendar_today02-06-2018 06:26:02

1,1K Tweet

1,1K Followers

364 Following

ArkHaul Logistics (@msafirishajix) 's Twitter Profile Photo

Mafuta ni moja ya costs kubwa na ya lazima kama unamiliki ama kuendesha gari. Unawezaje kupunguza matumizi ya mafuta yasiyo lazima kwenye gari lako? Fuata thread hii.Twenzetu👇👇

Mafuta ni moja ya costs kubwa na ya lazima kama unamiliki ama kuendesha gari.
Unawezaje kupunguza matumizi ya mafuta yasiyo lazima kwenye gari lako?

Fuata thread hii.Twenzetu👇👇
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

UGANDA INATAFUTA SOKO TZ? Ujue Uganda wako Serious wanataka kutuuzia hizi Basi zao! Kiufupi Basi linaonekana ni Bora kabisa, Lakini ni Made in Uganda, Brand Model KAYOOLA. (SHORT THREAD)

UGANDA INATAFUTA SOKO TZ?

Ujue Uganda wako Serious wanataka kutuuzia hizi Basi zao!

Kiufupi Basi linaonekana ni Bora kabisa, Lakini ni Made in Uganda, Brand Model KAYOOLA.

(SHORT THREAD)
🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Ghafla una miaka 25. Unaamka asubuhi, unatengeneza chai yako, unajiandaa kwenda kazini. Unarudi nyumbani saa 12 au saa 1 jioni, umechoka kiasi kwamba unachoweza ni kupika kidogo, kuchezea simu, halafu kulala. Kesho unaamka, unarudia tena mzunguko ule ule. THREAD 🧵