salymin (@therealsalymin) 's Twitter Profile
salymin

@therealsalymin

Nbc premier 🇹🇿 || PL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 || Laliga 🇪🇸 || Sometimes Rest of the world || Tactics ⚽ || Analysis

ID: 2462080308

calendar_today24-04-2014 19:13:56

5,5K Tweet

387 Followers

944 Following

salymin (@therealsalymin) 's Twitter Profile Photo

✍️Bella Guttman, Mtia laana ndani ya Benfica, Huyu alikuwa kocha wa Benfica miaka ya 60 aliwapa laana klabu ya Benfica kutonyanyua Taji la Ulaya kwa miaka 100, Tangu hapo Benfica imecheza Fainali 8 haijawahi kushinda hata moja. #SundayStorynaMimi.

✍️Bella Guttman, Mtia laana ndani ya Benfica, Huyu alikuwa kocha wa Benfica miaka ya 60 aliwapa laana klabu ya Benfica kutonyanyua Taji la Ulaya kwa miaka 100, Tangu hapo Benfica imecheza Fainali 8 haijawahi kushinda hata moja.
#SundayStorynaMimi.
salymin (@therealsalymin) 's Twitter Profile Photo

Waamuzi kutoka Afrika WORLD CUP 2026 Mustapha Ghorbal (Algeria)  Jean-Jacques Ndala (DR Congo)  Amin Omar (Egypt)  bjerre Ghislain Atcho (Gabon)  Dahane Beida (Mauritania) Video Officials (VAR)  Lahlou Benbraham (Algeria)  Mahmoud Ashour (Egypt)  Letticia Viana (Eswatini)

Waamuzi kutoka Afrika WORLD CUP 2026
Mustapha Ghorbal (Algeria) 
Jean-Jacques Ndala (DR Congo) 
Amin Omar (Egypt)
 bjerre Ghislain Atcho (Gabon) 
Dahane Beida (Mauritania)

Video Officials (VAR) 
Lahlou Benbraham (Algeria) 
Mahmoud Ashour (Egypt) 
Letticia Viana (Eswatini)
salymin (@therealsalymin) 's Twitter Profile Photo

🤔 Inafikirisha Sana Simba, Yanga na Azam wanapocheza Michezo ya FA wakakutana na timu za madaraja ya chini Wengi husema Sio mechi ya kuzipimia wachezaji lakini wanapofungwa Lawama zinaenda kwa hao hao wanasema ilikuwa mechi kujipima uzito.

🤔 Hivi nchini kwetu Hakuna Mashindano ya kombe la Ligi, Kama ilivyo Uingereza Wapo na Carabao na FA Je sisi ukitoa Hii CRDB Federation Cup kuna kikombe kingine?

🤔 Hivi nchini kwetu Hakuna Mashindano ya kombe la Ligi, Kama ilivyo Uingereza Wapo na Carabao na FA Je sisi ukitoa Hii CRDB Federation Cup kuna kikombe kingine?
Mail Sport (@mailsport) 's Twitter Profile Photo

'Eddie Howe Out' is a thing at Newcastle now. It's baffling. Fan anger should be aimed at the semi-interested Saudi owners who promised so much but have delivered so little and have badly let manager and club down, writes OLIVER HOLT trib.al/ckM30rG

Kentoddy (@kentoddym) 's Twitter Profile Photo

I will promote the first 30 reposts in my next gain train. Small WIGS tuinuane walai ✅ I always keep my words.✅ 1. KijanaYaRori 2 Chris Mwavuna 3 𝗗𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗢𝗰𝗵𝗼𝗹𝗮 𝗞𝗘™🇰🇪 4 Vela_Sport⚡️ 5 7 8 9 11 12 13 15 16 17 18 19 21 22 24 25 ADD+ REPOST 👉ADD+