Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile
Enock Kiswaga

@therealekiswaga

Farmer and Businessman. Winner out of 35Candidates 2020Wangingโ€™ombe constituency in preliminary CCM. and Proud SDA! Wangi the 5th

ID: 4729653677

linkhttps://enockkiswaga.com calendar_today07-01-2016 00:42:03

29,29K Tweet

7,7K Followers

2,2K Following

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

๐ŸŒพ Kilimo โ€ข Bajeti ya kilimo imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300 kutoka TSh bilioni 294 (2021) hadi TSh trilioni 1.24 (2025). โ€ข Mbolea: kutoka tani 678,017 hadi milioni 1.21. โ€ข Uzalishaji wa chakula: kutoka tani milioni 17.1 hadi 22.8. โ€ข Utoshelevu wa chakula: asilimia

๐ŸŒพ Kilimo

โ€ข Bajeti ya kilimo imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300 kutoka TSh bilioni 294 (2021) hadi TSh trilioni 1.24 (2025).
โ€ข Mbolea: kutoka tani 678,017 hadi milioni 1.21.
โ€ข Uzalishaji wa chakula: kutoka tani milioni 17.1 hadi 22.8.
โ€ข Utoshelevu wa chakula: asilimia
Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Tajiri nae kawa kama malaika izraeli๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Anakusifia mchanaa usiku anataka maini yako๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Mdogo wangu ukipambanaa kupata Validation z watu humu hutafanya chochote kwenye maisha.. Fanya kile Moyo wako na uwezo wako unaonaa unaweza.... Keep pushing to the limits wachana na maneno ya watu

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

I don't know if I should use an M16 rifle to kill a squirrel?๐Ÿ˜ Or should I use this smaller one?๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

I don't know if I should use an M16 rifle to kill a squirrel?๐Ÿ˜ Or should I use this smaller one?๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Mimi sio nabii wala mganga wa kienyeji. Vile nahisi itoshe tu kusema Mwenyekiti atatushangaza wengi. #OctoberTunatiki โœ…๐ŸŸข

Mambo yote ya kihuni kwenye demokrasia nchi hii yalianzishwa na kuasisiwa na Team ya kina Pole Pole na wenzie... Huyu Mpumbavu anapata wapi legitimacy ya kuzungumziaa kuheshimu katiba na demokrasia? Bad thing manyumbu mnamshangilia huyu ndio alikuwa mtesi wenu mmesahau?๐Ÿคท๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ CCM

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Humphrey Polepole Alisimamiaa na kushadadia watu zaidi ya 71 ndani ya CCM walio shinda kwa uhalali kabisa wakakatwa.... Hapo alikuwa anatetea interest za nani? Za Mtu au za chama chetu? Hawa watu sijuw hua tunawaokota wapi

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Humphrey Polepole na vigogo wenzio watatu ...... Nendeni mkasome Yohana 13:27 Mchanaa huuu..... Kabla ya Jumamosi๐Ÿ˜๐ŸŒš