@thegr8jimmy
today I did good
ID: 1234375042366164993
calendar_today02-03-2020 07:08:52
1,1K Tweet
460 Followers
485 Following
13 days ago
I think I'm the only one mwenye hajawai kuwa na hiyo efootball kwa simu
Shida sii kujituma, shida ni mahali pa kujituma🥹
Nowadays hawakunyimi direct wanakuambia watakupee Manu ikiwin🥲😪
Ruto ni kama wale marafiki wakisota wanauza vitu za nyumba,sasa airport imekosa nini😂
Cougar ni wa majuu huyo wako ni mumama
Masaa ni ya kuunda SGR ya weekend block lazima tutoke
Hapa rent mnalipa how much ?
Alafu bro ukishamzoeasha pesa pia umuoe usituachie shida kuombwa pesa kila mara🚮😩
So government inaezapata watu walikula nyama na mchele parliament but hawaezi pata 70 missing kids
Saa ii kuna jamaa ako mahali anaambia dem yake stay safe na dem ako kwa boi mwingine wanacuddle. Anajibu text akiwa amevaa t-shirt refu
Dear younger siblings,please stop assuming that your older sibling have money Sincerely older sibling
Madem huvuta bangi huwa wananivutia😍
Almost everyone in this app smokes weed
Msee akikuomba chwani umwambie hauna halafu kesho akuulize "ulipata ile chwani"?
Ni biz gani Naeza Anza karibu na Police Station ?
Nimekaa chini nikakumbuka Aswan high dam
Writing inaeza nunua subaru ama huyu kuna kitu hanambii
Mimi nayo heri nikuje kuongea na strangers uku than kuongea na watu najua pale green app
Huku ni ugali na sukuma ,,beef labda ya Mimi na wewe😂😄
Nyinyi huambia your lil bros how to move ama you let them fumble and learn