THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile
THE MESHA

@the_mesha24

FINANCIAL LITERACY EXPERT || ENTREPRENEUR || INVESTOR || turning ideas in to income || teaching how to make, manage & multiply money || DM open for business

ID: 1512770890970374149

calendar_today09-04-2022 12:34:50

6,6K Tweet

1,1K Takipçi

843 Takip Edilen

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Na hii ndio sababu ya kukosa furaha na maisha yako na kuzeeka kabla ya muda Kujilinganisha ni kujikataa wewe yani KUJISALITI na kuishi maisha ya wengine

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Another week, another winning 1. Panga malengo ya siku hadi week yaoenekane 2. Kuwa na ruthless priorities, hapa ni non negotiable lazima uvitimize 3. Usipoteze FOCUS kizembe, focus ni NO nyingi kuliko YES 4. Linda muda wako, maana ndo thamani ya juu 5. Never SKIP a day.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mambo muhimu kuhusu PESA 1. Pesa haifati tamaa, inafata nidhamu 2. Unapojenga nidhamu, unajenga utajiri 3. Kila shilingi inapaswa kuwa na kazi 4. Pesa inapenda kuwa kwenye motion kukujenga na kukuzalishia Kumbuka hili Pesa isiyofanya kazi ni pesa inayopoteza thamani

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume 1. Ukiyumba mindset 2. Ukikosa priorities 3. Ukipoteza Mwelekeo 4. Ukiongozwa na emotional Ni ngumu kutoboa kwenye jambo lolote lile.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Iko ivi… 1. Kila ushindi mdogo. 2. Kila vita ya kimya kimya. 3. Kila siku unapofanya wakati ungeweza kukata tamaa na kuacha Vyote ni ushindi na vinahesabika. Furahia hatua ndogo za ushindi unazopata Hata kama hakuna mtu mwingine anayesema hivyo.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume Kwenye mahusiano yako, MWANAMKE wako, Kama haongezi kitu Basi anapunguza kitu Kuongeza kitu sio kukupa vitu, ni anakuwa aligned na vision yako na kuingia kwenye mfumo na taratibu zako Mwanamke anaeongea na vision yako anakujenga USIPUUZE.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kila siku fanya kitu kinachokupa maana, sio tu raha. Raha ni ya muda mfupi, lakini maana (purpose) hujaza moyo kwa muda mrefu. Fanya kitu kinachokupa hisia ya kuendelea,hata kama ni kidogo. Hii ndio dopamine ya mafanikio halisi.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Unashindwa kufanikiwa kwasababu 1. Unatafuta njia za haraka badala ya mchakato. 2. Unafikiri pesa upatikana kwa bahati, na sio Mifumo. 3. Unazungukwa na watu ambao ni negative. 4. Unatumia sana badala ya kujenga. 5. Unatafuta validation kuliko transformation.

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Kama anakusaidia kubaki focused anaongeza kitu Kama anakufanya uchoke kiakili, uache routines zako anapunguza. Don’t play to lose. Sepa..