Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile
Women and Technology Tanzania

@techwomentz

A platform by @thelaunchpadtz @lpdigitaltz to convene, spotlight women who build, use and promote technology in Tanzania

ID: 1582051002349387776

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029Va9YudrHFxOv1OvUmR3u calendar_today17-10-2022 16:49:17

1,1K Tweet

634 Followers

85 Following

Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Washiriki wa #SheTechTZ Cohort iliyopita walipata fursa ya kujifunza mambo mengi kupitia programu hii. Kupitia mafunzo kutoka kwa wataalam wa masuala mbalimbali, walikuza ujuzi wao katika: 💡 Teknolojia ya kidigitali 💡 Ujasiriamali wa kidigitali 💡 Ubunifu na uongozi 💡 Uchumi

Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

How to Create a Good CV: Top Tips for Creating a Standout CV Your CV is the first step toward unlocking exciting career opportunities! Whether you're applying for jobs, scholarships, or internships, a well-crafted CV makes all the difference. Click the link for the full guide:

How to Create a Good CV: Top Tips for Creating a Standout CV

Your CV is the first step toward unlocking exciting career opportunities! Whether you're applying for jobs, scholarships, or internships, a well-crafted CV makes all the difference.

Click the link for the full guide:
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Fully Funded Internship #Opportunity at CERN, Switzerland! 4-12 months of hands-on experience in Europe! 📍 Location: Meyrin, Switzerland 💼 Benefits: ✅Contract duration: 4-12 months ✅Monthly allowance: 3,407 Swiss Francs (net of tax) ✅Additional financial support for

Fully Funded Internship #Opportunity at CERN, Switzerland! 

4-12 months of hands-on experience in Europe!

📍 Location: Meyrin, Switzerland
💼 Benefits:

✅Contract duration: 4-12 months
✅Monthly allowance: 3,407 Swiss Francs (net of tax)
✅Additional financial support for
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Haki sawa kwa wanawake katika teknolojia si tu suala la usawa wa kijinsia, bali ni ufunguo wa kuleta maendeleo ya kidijitali kwa jamii nzima. Tufungue milango ya teknolojia kwa wote, ili kuunda dunia yenye fursa sawa kwa kila mtu, bila kujali jinsia. #WanawakeNaDijitali

Haki sawa kwa wanawake katika teknolojia si tu suala la usawa wa kijinsia, bali ni ufunguo wa kuleta maendeleo ya kidijitali kwa jamii nzima. 

Tufungue milango ya teknolojia kwa wote, ili kuunda dunia yenye fursa sawa kwa kila mtu, bila kujali jinsia.

#WanawakeNaDijitali
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Unataka kujifunza mbinu bora za masoko ya mtandaoni? Tembelea YouTube channel yetu(LpDigital) na upate maarifa ya jinsi ya kutumia majukwaa kama Facebook, Instagram, Twitter na YouTube kwa ufanisi, mbinu za kampeni za matangazo, na uchambuzi wa data ili kuboresha mikakati yako!

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Kutumiana picha au picha za mjongeo (zenye maudhui ya ngono) mtandaoni, sio salama. Mitandao haisahau! Tembelea ukurasa wetu wa YouTube (Lp Digital) kwa haya na mengine mengi kuhusu usalama wa mitandao. #CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #CyberCrime #OnlineSafety #DigitalLiteracy

Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

✨ Exciting Opportunity for Aspiring Undergraduates! ✨ The KARIMJEE Foundation is now accepting applications for the 2024 Undergraduate Scholarship! 🎓 Looking to further your education? Visit the website to view the scholarship requirements and apply today 🌐

✨ Exciting Opportunity for Aspiring Undergraduates! ✨

The KARIMJEE Foundation is now accepting applications for the 2024 Undergraduate Scholarship! 🎓

Looking to further your education? Visit the website to view the scholarship requirements and apply today

🌐
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Ni ujuzi gani wa kidijitali unadhani ni muhimu kwa wanafamilia wote, hasa wanawake, kuufahamu ili kuwa na ustadi wa kutumia teknolojia kwa usalama, ufanisi, na kujiendeleza kibiashara? Share na sisi kupitia comments!! #WanawakeNaDijitali #SheTechTZ #TechWomenTZ #MitandaoNaSisi

Ni ujuzi gani wa kidijitali unadhani ni muhimu kwa wanafamilia wote, hasa wanawake, kuufahamu ili kuwa na ustadi wa kutumia teknolojia kwa usalama, ufanisi, na kujiendeleza kibiashara?

Share na sisi kupitia comments!!
#WanawakeNaDijitali #SheTechTZ #TechWomenTZ #MitandaoNaSisi
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ni #Fursa kwa kipindi hiki cha mapinduzi ya kidijitali. Tumia siku hii ya mapumziko kuangalia fursa zilizopo. #WanawakeNaDijitali

Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Tunapojitosa katika ulimwengu wa dijitali, ni muhimu kujifunza kutoka kwa wengine lakini pia kuwa waangalifu tusije tukajifanya watumwa wa mitindo au mawazo ya wengine. Wakati wa kutafuta maarifa, hakikisha kwanza unakuwa na malengo yako binafsi na kujitambua. Cc GetrudeM

Tunapojitosa katika ulimwengu wa dijitali, ni muhimu kujifunza kutoka kwa wengine lakini pia kuwa waangalifu tusije tukajifanya watumwa wa mitindo au mawazo ya wengine.

Wakati wa kutafuta maarifa, hakikisha kwanza unakuwa na malengo yako binafsi na kujitambua.

Cc <a href="/GetrudeMligo/">GetrudeM</a>