Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile
Tanzania Commercial Bank

@tcbbank_

Welcome to the Official Twitter Page of Tanzania Commercial Bank | Growing Stronger Together | Instagram @tanzaniacommercialbank

ID: 1885672886

linkhttp://www.tcbbank.co.tz calendar_today20-09-2013 07:11:15

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

1 Takip Edilen

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini ukwangue vocha? Ongeza salio kutoka kwenye akauntiyako kwa TCB Popote App na utoboekidijitali.   #ToboaKidijitali #TCBPopoteApp #BenkiInayomwelewaMtanzania

Kwa nini ukwangue vocha? Ongeza salio kutoka kwenye akauntiyako kwa TCB Popote App na utoboekidijitali.
 
#ToboaKidijitali
#TCBPopoteApp
#BenkiInayomwelewaMtanzania
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Kuanzisha, kuthibitisha au kuidhinisha muamala hata sio kazi! Tumia code ya mtandao wako kuingiakwenye Kikoba na fuata maelekezo au ingia kwenye TCB Popote App.   #ToboaNaKikoba #BenkiInayomwelewaMtanzania

Kuanzisha, kuthibitisha au kuidhinisha muamala hata sio kazi! Tumia code ya mtandao wako kuingiakwenye Kikoba na fuata maelekezo au ingia kwenye TCB Popote App.
 
#ToboaNaKikoba
#BenkiInayomwelewaMtanzania
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Fanya manunuzi yako kupitiaInternet banking ufaidike uingie kwenyedroo kwa kila muamala unaofanya.   #ToboaKidijitali #InternetBanking #BenkiInayomwelewaMtanzania

Fanya manunuzi yako kupitiaInternet banking ufaidike uingie kwenyedroo kwa kila muamala unaofanya.
 
#ToboaKidijitali
#InternetBanking
#BenkiInayomwelewaMtanzania
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Commercial Bank ilikuwa moja ya wadau waliohudhuria katika Mkutano wa Mashauriano na Wadau wa Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2025 ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefungua mkutano huo uliobeba

Tanzania Commercial Bank ilikuwa moja ya wadau waliohudhuria katika Mkutano wa Mashauriano na Wadau wa Sekta ya Ujenzi kwa mwaka 2025 ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefungua mkutano huo uliobeba
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tutakuwepo Port Elizabeth Mei 17-18 kuungana na Watanzania wanaoishi Afrika Kusini (Tanzania Community in South Africa – TACOSA). Karibu tujumuike pamoja, tupeane fursa, na kuimarisha umoja wetu. #DiasporaConnect #TACOSA #TCBNyumbani

Tutakuwepo Port Elizabeth Mei 17-18 kuungana na Watanzania wanaoishi Afrika Kusini (Tanzania Community in South Africa – TACOSA). Karibu tujumuike pamoja, tupeane fursa, na kuimarisha umoja wetu.  

#DiasporaConnect 
#TACOSA 
#TCBNyumbani
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Commercial Bank (TCB) imepokea kwa heshima kubwa ugeni wa Mhe. Togolani E. Mavura, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Korea Kusini. Ziara hiyo imefanyika katika Makao Makuu ya benki, ambapo Mhe. Balozi alipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi

Matawi yetu yaliyo wazi wikiendi hii. Huduma zetu pia zinapatikana kupitia TCB Wakala, ATM, Internet banking, Popote App, POS au piga *150*21# #BenkiInayomwelewaMtanzania #mission100by100

Matawi yetu yaliyo wazi wikiendi hii.

Huduma zetu pia zinapatikana kupitia TCB Wakala, ATM, Internet banking, Popote App, POS au piga *150*21#

#BenkiInayomwelewaMtanzania
#mission100by100
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Adam Mihayo akiambatana na timu kutoka Tanzania Commercial Bank wamehudhuria katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje 2001 Toleo la Mwaka 2024 uliofanyika jijini Dar es Salaam. Tukio la uzinduzi limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya

Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji, Bw. Adam Mihayo akiambatana na timu kutoka Tanzania Commercial Bank wamehudhuria katika uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje 2001 Toleo la Mwaka 2024 uliofanyika jijini Dar es Salaam. 

Tukio la uzinduzi limeongozwa na Rais wa Jamhuri ya
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Faida nje nje! Furahia riba yahadi 12% kwa mwaka. Tembelea tawiletu kupata maelezo zaidi au tupigie0800 110 160.   #FixedDepositAccount #BenkiInayomwelewaMtanzania

Faida nje nje! Furahia riba yahadi 12% kwa mwaka. Tembelea tawiletu kupata maelezo zaidi au tupigie0800 110 160.
 
#FixedDepositAccount
#BenkiInayomwelewaMtanzania
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Commercial Bank inashiriki katika Kongamano la Biashara Kanda ya Afrika Mashariki (GTR East Africa 2025) linalofanyika Mei 21-22 jijini Nairobi likiwaleta pamoja wataalam na wadau kutoka sekta ya biashara, uagizaji na miundombinu kubadilishana uzoefu na kupanua wigo wa

Usikubali umri uzuie kutimizandoto zako. Thubutu. Amua sasa tukupetabasamu unalostahili!   Tembelea tawi letu kupata maelezo zaidiau piga 0800 110 160.   #Tabasamu #TabasamuAccount #BenkiInayomwelewaMtanzania

Usikubali umri uzuie kutimizandoto zako. Thubutu. Amua sasa tukupetabasamu unalostahili! 
 
Tembelea tawi letu kupata maelezo zaidiau piga 0800 110 160.
 
#Tabasamu
#TabasamuAccount
#BenkiInayomwelewaMtanzania
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Commercial Bank (TCB) imepata fursa ya kipekee kushiriki Kongamano la Biashara Kanda ya Afrika Mashariki (GTR East Africa 2025) linaloendelea jijini Nairobi, Kenya. Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa TCB, Bw. Adam Mihayo, ameshiriki kwenye jopo la majadiliano

Tanzania Commercial Bank (TCB) imepata fursa ya kipekee kushiriki Kongamano la Biashara Kanda ya Afrika Mashariki (GTR East Africa 2025) linaloendelea jijini Nairobi, Kenya.

Afisa Mtendaji Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa TCB, Bw. Adam Mihayo, ameshiriki kwenye jopo la majadiliano
Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Crowne Plaza Hotel wanakuandalia breakfast kali☕🫖 na sisi tunakurudishia 10% yako ukilipa kwa Popote Visa Card. Furaha iliyoje kuanza siku vizuri namna hii!😋🥹 #PopoteVisaCard #BenkiInayomwelewaMtanzania

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Huduma zetu wikiendi hii zinapatikana katika matawi haya. Pata huduma pia kupitia kwenye ATM zetu nchi nzima na TCB Wakala au jihudumie mwenyewe ukitumia TCB Popote App au *150*21#. #BenkiInayomwelewaMtanzania

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Baba ni msingi wa familia — mfano wa ujasiri, upendo na maadili. Leo tunawakumbuka mashujaa hawa waliotunyesha njia, kutusaidia kupiga hatua za mwanzo na kuendelea kutushauri kwa hekima zao. Happy Father’s Day! #HappyFathersDay #BenkiInayomwelewaMtanzania

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Simu kiganjani mwako, ushindi juu yako! Fanya miamala mingi kwa kutumia TCB Popote App uondoke na moja ya zawadi tulizokuandalia. #ToboaKidijitali #TCBPopoteApp #BenkiInayomwelewaMtanzania

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

AdaBima inahakikisha wanao wanaendelea na masomo pale mzazi au mlezi anapopata ulemavu wa kudumu au kuaga dunia. Mkatie mwanao aliye kati ya darasa la kwanza na chuo kikuu shahada ya kwanza. Lipa bima yote kwa mkupuo au lipa kila mwaka. Tembelea tawi letu kupata maelezo zaidi.

Tanzania Commercial Bank (@tcbbank_) 's Twitter Profile Photo

Tumewaletea tena ile challenge, eti hapa ni wapi? Talii nenda kote unakotamani kufika ukiwa na punguzo la 12% kwenye Qatar Airways ukilipa kwa Popote Visa Card. #FunDaySunday #BenkiInayomwelewaMtanzania

Tumewaletea tena ile challenge, eti hapa ni wapi?
 
Talii nenda kote unakotamani kufika ukiwa na punguzo la 12% kwenye Qatar Airways ukilipa kwa Popote Visa Card.
 
#FunDaySunday #BenkiInayomwelewaMtanzania