TASAC (@tasac_tz) 's Twitter Profile
TASAC

@tasac_tz

Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC),
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
Posta, Mtaa Garden Avenue/Ohio PSSF Ghorofa ya 8
Simu +2550800110141

ID: 1059802028531159040

linkhttp://www.tasac.go.tz calendar_today06-11-2018 13:37:48

422 Tweet

1,1K Followers

13 Following

TASAC (@tasac_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Bw. Mohamed Salum amepokea ugeni kutoka Kampuni ya Danous yenye Makao makuu yake nchini Ugiriki na tawi lake Zanzibar, na kuzungumzia juu ya fursa za ajira zilizopo kwa Mabaharia na namna ya upatikanaji wa mafunzo kwa vitendo kwa Mabaharia popote duniani

TASAC imeshiriki katika Mkutano wa Pili wa Ushirikiano baina ya Wizara ya Uchukuzi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Wizara ya Ujenzi wa Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa TPA jijini Tanga.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi inatarajia kuwa mwenyeji wa Semina ya Kanda ya Afrika katika Usalama wa Usafiri Majini itakayofanyika katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Aprili 16 hadi 17, 2024

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wote wa TASAC tunakupongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutimiza Miaka Mitatu Madarakani. #kaziiendelee

Wadau wa Sekta ya Usafiri kwa njia ya maji waaswa kuzingatia mafunzo ya Mpango wa Taifa wa Kujiandaa na Kupambana na Umwagikaji wa Mafuta kwenye Bahari na Maziwa ili kuufahamu na kuendelea kuufanyia kazi na mazoezi ya mara kwa mara.

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Mbelwa Kairuki tarehe 22 Machi, 2024 amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa Tanzania uliohudhuria Mkutano wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Baharini (International Maritime Organization -IMO) uliofanyika jijini London.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika La Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) akiwa amembatana na Mkurugenzi wa Usalama, ulinzi na Utunzaji wa Mazingira Bi Leticia Mutaki na Mkurugenzi wa Huduma za Shirika Bwana Hamid Mbegu walipotembeklea Kituo cha Kuratibu shughuli za Uokoaji na Utafutaji

TASAC yashiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Uchukuzi na Lojistiki, ulioandaliwa na Chama cha Wasafirishaji Mizigo cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEAFFA) ambao unafanyika katika ukumbi wa Rotana jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 14 hadi 16 Agosti, 2024.

Watumishi TASAC wamepatiwa Mafunzo ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (Occupational Safety and Health awareness session) kutoka kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa kazi (OSHA) kuanzia tarehe 12 hadi 13 Agosti, 2024 katika Ukumbi Mdogo wa Bunge, Dar es Salaam.

Wadau wa Usafiri Majini watoa maoni mabadiliko ya kanuni za kushughulikia malalamiko ya mwaka 2018 katika mkutano wa wadau uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha Utalii jijini Dar es Salaam.