Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile
Tanzania Leaks

@tanzanialeaks

Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].

ID: 1425093307378638848

calendar_today10-08-2021 13:55:43

3,3K Tweet

103,103K Takipçi

130 Takip Edilen

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Haya Watanganyika, anzeni kuuza nafsi zenu. Baiskeli zenu zinakuja ili muendelee kubakia kwenye umasikini. Thamani ya mtanganyika mmoja ni baiskeli moja. Sijaona hizi baiskili wakigawa Zanzibar, kwa nini? Waarabu wamechukua bandari na Mbuga za Tanganyika, wanatulipa baiskeli!

Mama kapanic sana. Amevurugwa. Siyo mzima kabisa— wananchi hawana muda naye. Mnaona Shangwe za watu kwa MPINA na Mshangao na ukimya wa wananchi kwake. Rais wa wapi anatoa mipasho wakati watu wanahitaji barabara? Wakina NGOSHA, huyu mama ana chuki binafsi na nyie. Mnyoosheni

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

CHALAMILA ALBERT— MIKOCHINA, mita 700 toka kwa Mwalimu Nyerere, Mita 300 toka kwa Rais Mwinyi ndio haya maviwanda FEKI, magereji ya Kichina yaliko. PATA picha, Watanzania wanaenda Kuanzisha viwanda vya Sabuni kwenye makazi ya Viongozi Beijing.

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Wewe mama, jaribu kuua Tundu Lissu, tunakukujia, wengine tutaingia kwa Kajiado, wengine tutaingia kwa Mugori, tunakukujia kama utajaribu kuua mkuu ya Chama ya opposition ya Chadema Party 🤣

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Taarifa tunayoipata ni kuwa maeneo ya kuanzia Shoppers Plaza hadi Mlalakua, Jeshini, sehemu kubwa majengo yamechukuliwa na Wachina. Wanayoyafanya kwenye hayo majengo wanajua wao. Hapa ni mtaa wa Makuyuni/Serengeti, uchafu wa kuogopesha. Uhamiaji, mna wateja wengi sana

Kamishna wa Uhamiaji. Hawa wachina wanapataje vibali kuja kuanzisha uwakala pamoja na kampuni ya clearing and Forwarding? Kwa hiyo Watanzania wazawa watashindana na wageni hadi kwenye Uwakala wa M-Pesa?

Kamishna wa Uhamiaji. Hawa wachina wanapataje vibali kuja kuanzisha uwakala pamoja na kampuni ya clearing and Forwarding?

Kwa hiyo Watanzania wazawa watashindana na wageni hadi kwenye Uwakala wa M-Pesa?
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Samia ameenda Kanda ya Ziwa kuwadhalilisha Wasukuma na kuwatoa kafara. Hawa “kenge” wake wanavunja sheria za Barabara. Madereva, msikubali kukamatwa. Kama Rais na “kenge” wake wanavunja sheria na hawakamatwi, kwa nini nyinyi mkubali kufata sheria za barabarani?

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Mwekezaji wa Kichina, anapika mama Ntilie. Haya Migahawa mingi sana Mikochina Kinondoni na Masaki. Uhamiaji inawapa vibali kama wawekezaji waje kupambana na Watanzania wazawa kwenye Soko Huria.

Mwekezaji wa Kichina, anapika mama Ntilie.  Haya Migahawa mingi sana Mikochina Kinondoni na Masaki. 

Uhamiaji inawapa vibali kama wawekezaji waje kupambana na Watanzania wazawa kwenye Soko Huria.
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

MWANANCHI: Toilet Paper. Gazeti la kufungia maanadazi, liliaminiwa, limebaki kuwa kituko. Linafanya Uchawa. Kila Siku Samia kaandika Historia! Historia gani? Anaumiza vijana wa Shujaa. Hiyo ndio historia aliyoandika maana daraja ni Juhudi za JPM. Kenge Kabisa. Acheni UCHAWA

BREAKING: Tumepata taarifa nzito kidogo ya intelligensia kuhusiana na Wachina. Inachakatwa na kuondoa element yoyote inayoweza kuvujisha chanzo chetu. Ikiwa tayari tutawaanikia. Kaeni mkao wa kula ndio mjue serikali yetu ilivyo Uchi. #TanzaniaLeaks

BREAKING: We have received some damning intelligence report related to the Chinese operations in East Africa. We are in the process of ensuring no information that can be traced back to the informer. Get ready for this shocking intelligence dossier in the next 24hours.

Chalamila, hebu kaa kwa dakika moja utafakari maumivu ambayo ungekuwa nayo leo, ingekuwa wanao wametekwa au hata wakauwawa na usiwaone tena. Kama kweli unao upendo wa aina hiyo kwa wanao, fikiria maumivu ya mzazi mwingine ambaye analia miezi nenda rudi hamuoni mwanaye.

BREAKING: Chinese Intelligence Officers in Tanzania are assisting the ruling party CCM in espionage work against the opposition and civil society. #TanzaniaLeaks

BREAKING: Kutokana na haja ya kulinda watoa taarifa wetu, tutakatakata hizi taarifa za Kijasusi ili kuutaarifu umma uchafu wa Wachina hasa nchini #Tanzania na #DRC. Ndio mjue hatuna serikali, tuna wahuni wanaoiuza nchi. #TanzaniaLeaks

BREAKING: To protect our whistleblowers, we have decided to send these Intelligence Leaks in pieces to Expose how corrupt our governments are as well as the Chinese Political and Economic espionage in both DR Congo & Tanzania, which doesn't have leaders but goons. #TanzaniaLeaks

BREAKING: Reports confirm the USA dropped six Massive Ordnance Penetrator (MOP) bunker-buster bombs on Fordow, Iran's heavily fortified nuclear facility.