Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile
Tanganyika Law Society(TLS)

@tanganyikalaw

TLS is a membership organization that represents Advocates in Tanzania Mainland. TLS is constituted through Tanganyika Law Society Act CAP 307 R.E. 2002.

ID: 983750831521648642

linkhttp://www.tls.or.tz/ calendar_today10-04-2018 16:57:30

3,3K Tweet

82,82K Takipçi

587 Takip Edilen

Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanganyika Law Society Wakili Boniface Mwabukusi akisoma hotuba fupi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika leo tarehe 16 Juni 2025 Mbagala ambapo mgeni rasmi alikua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Kampeni hiyo yenye malengo ya kutoa

#HabariPicha Mkurugenzi Mtendaji wa Tanganyika Law Society Bi. Mariam Othman akiwa kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika leo tarehe 16 Juni 2025 Mbagala ambapo mgeni rasmi alikua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Aidha TLS inawakaribisha wananchi

#HabariPicha
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanganyika Law Society Bi. Mariam Othman akiwa kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika leo tarehe 16 Juni 2025 Mbagala ambapo mgeni rasmi alikua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Aidha TLS inawakaribisha wananchi
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mh. Eliakim C. Maswi ametembelea na kufanya mazungumzo na viongozi wa TLS wakiongozwa na Rais wa chama hicho wakili Boniface A.K. Mwabukusi. Kwenye mazungumzo hayo yaliyojikita katika namna bora ya kushirikiana kwenye masuala ya kisheria ili

TLS imezindua kampeni ya mapambano dhidi ya vishoka katika taaluma ya sheria nchini. Akizindua kampeni hiyo mbele ya waandishi wa habari mwenyekiti wa Kamati ya (Anti vishoka) wakili Sweetbert Nkuba amesema kampeni hiyo ina malengo ya kutokomeza vishoka ili kuweka taswira nzuri

TLS inaendelea na zoezi la kutoa elimu juu ya vishoka wa uwakili wanaofanya kazi ya uwakili kinyume na taratibu na kusababisha ukiukwaji mkubwa wa maadili katika tasnia ya sheria. Pamoja na elimu kuendelea kutolewa, TLS pia imeonya vikali na kuwataka vishoka pamoja na mawakili

Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) wakili Emmanuel Ukashu ameongoza kikao kazi cha viongozi wapya (AYL- Ex com) waliochaguliwa wa AYL kwenye kanda zote za TLS. Aidha kwenye kikao hicho wamejadili mambo kadhaa ikiwemo maslahi ya mawakili vijana, fursa zilizopo na n.k.

Baadhi ya wafanyakazi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika wakishiriki kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo kwenye masuala ya mapambano dhidi ya utakasishaji fedha haramu, ufadhili wa ugaidi pamoja na ufadhili wa silaha za maangamizi. Mafunzo hayo yanaendelea kutolewa kuanzia tarehe

TLS tupo kwenye Maonesho ya Sabasaba! Tunatoa msaada wa kisheria kwa wananchi wote. Karibu kwenye banda la TLS upate ushauri wa kisheria kutoka kwa wanasheria waliobobea. Usikose nafasi hii ya kipekee! Njoo upate msaada, elimu, na majibu ya masuala yako ya kisheria. #TLS

Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

TLS imeendesha mafunzo maalum kwa mawakili watarajiwa ikiwa ni takwa muhimu kabla ya kuapishwa rasmi kuwa Mawakili kesho Julai 03, 2025 na Jaji Mkuu wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga zaidi uelewa wa utendaji kazi wa Chama pamoja wajibu wa Wakili kwa jamii na Chama. Mafunzo

TLS imeendesha mafunzo maalum kwa mawakili watarajiwa ikiwa ni takwa muhimu kabla ya kuapishwa rasmi kuwa Mawakili kesho Julai 03, 2025 na Jaji Mkuu wa Tanzania.
Mafunzo hayo  yamelenga zaidi uelewa wa utendaji kazi wa Chama pamoja wajibu wa Wakili kwa  jamii na Chama. Mafunzo
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Jaji Mkuu Mhe. George Masaju amewaapisha mawakili wapya 449. Katika hfla hiyo Jaji Mkuu amesisitiza maadili ya mawakili kwa jamii hasa upande wa vishoka wa uwakili pamoja na wajibu wa mawakili kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2025. Hafla hiyo ya uapisho

TLS Tunashiriki katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Tunatoa huduma za msaada wa kisheria na ushauri kutoka kwa mawakili waliobobea katika nyanja mbalimbali za sheria. Tunawakaribisha wananchi

TLS Tunashiriki katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Tunatoa huduma za msaada wa kisheria na ushauri kutoka kwa mawakili waliobobea katika nyanja mbalimbali za sheria.
Tunawakaribisha wananchi
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

TLS imepokea kwa heshima ugeni kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika ziara ya mafunzo ya kujifunza na kubadilishana uzoefu. Ziara hii imelenga kujifunza kuhusu taratibu za usajili na utoaji wa leseni kwa wanachama, uendeshaji wa mafunzo endelevu ya kitaaluma

East Africa Law Society(EALS) (@ealawsociety) 's Twitter Profile Photo

East Africa’s Financial Future Needs Legal Brains Like Yours! From mobile money revolutions to the rise of blockchain and sustainable finance, the landscape is changing fast—and lawyers are at the heart of it all. 🔍 Join us tomorrow for a high-impact webinar hosted by the

East Africa’s Financial Future Needs Legal Brains Like Yours! 

From mobile money revolutions to the rise of blockchain and sustainable finance, the landscape is changing fast—and lawyers are at the heart of it all.

🔍 Join us tomorrow for a high-impact webinar hosted by the
Tanganyika Law Society(TLS) (@tanganyikalaw) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa TLS Bi. Mariam Othman akitoa wasilisho kuhusu namna ambavyo TLS imeweza kushughulikia mambo yaliyoibuka katika utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika Kongamano la Mwaka la msaada wa Kisheria lililofanyika kwa siku mbili (tarehe