Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile
Taifa Leo

@taifa_leo

Gazeti la pekee la Kiswahili nchini Kenya. Kwa habari na makala ya kusisimua, jinunulie nakala kila siku kupitia epaper.nation.africa

ID: 2177492923

linkhttps://taifaleo.nation.co.ke/ calendar_today06-11-2013 06:22:14

96,96K Tweet

35,35K Takipçi

49 Takip Edilen

Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Taifa Jumapili, Julai 13, 2025 1. GEN-Z KUAMUA 2027? Wanarika hawa ni wengi, wasema hawana ukabila, ila watafaulu kukiuka mifumo ya upigaji kura kwa misingi ya kabila na kuamua Rais? 2. Sababu za Ruto kukosa usingizi 3. Nigeria yakataa wahamiaji wa Trump epaper.nation.africa/ke

Taifa Jumapili, Julai 13, 2025
1. GEN-Z KUAMUA 2027? Wanarika hawa ni wengi, wasema hawana ukabila, ila watafaulu kukiuka mifumo ya upigaji kura kwa misingi ya kabila na kuamua Rais?
2. Sababu za Ruto kukosa usingizi
3. Nigeria yakataa wahamiaji wa Trump
epaper.nation.africa/ke
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Sichezi, mtakiona; Ruto aonya upinzani akisitiza amri ya wazua ghasia na uporaji kupigwa risasi taifaleo.nation.co.ke/habari/habari-…

Sichezi, mtakiona; Ruto aonya upinzani akisitiza amri ya wazua ghasia na uporaji kupigwa risasi
taifaleo.nation.co.ke/habari/habari-…
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

UCHANGANUZI: Hizi hapa sababu za Ruto kuwa na hofu, hasira 'Kulingana na hesabu za Ruto, kujumuisha Raila serikalini kulifaa kuondoa kabisa tatizo la maandamano ila sasa ghasia zinatokea hata maeneo ambayo hayajawahi kushuhudia vurugu' Soma zaidi: taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…

UCHANGANUZI: Hizi hapa sababu za Ruto kuwa na hofu, hasira

'Kulingana na hesabu za Ruto, kujumuisha Raila serikalini kulifaa kuondoa kabisa tatizo la maandamano ila sasa ghasia zinatokea hata maeneo ambayo hayajawahi kushuhudia vurugu'

Soma zaidi: taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Jinsi Moi alisambaratisha na 'kumfufua' tena mwanasiasa wa Meru Jackson Itirithia Kalweo taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…

Jinsi Moi alisambaratisha na 'kumfufua' tena mwanasiasa wa Meru Jackson Itirithia Kalweo
taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Ujanja wa Raila kuzima Gen Z Pendekezo la mdahalo na vijana limefasiriwa kuwa mbinu ya kuwashawishi kuachana na maandamano taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…

Ujanja wa Raila kuzima Gen Z

Pendekezo la mdahalo na vijana limefasiriwa kuwa mbinu ya kuwashawishi kuachana na maandamano

taifaleo.nation.co.ke/makala/jamvi-l…
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari afariki akipokea matibabu London Buhari aliondoka mamlakani 2023 taifaleo.nation.co.ke/habari/aliyeku…

Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari afariki akipokea matibabu London

Buhari aliondoka mamlakani 2023

taifaleo.nation.co.ke/habari/aliyeku…
Taifa Leo (@taifa_leo) 's Twitter Profile Photo

Wandani wa Ruto: Tuna kadi fiche ya 'Tutam' Juhudi zinaelekezwa kumtia Kalonzo kibindoni ambaye wanamsawiri kuwa tishio kubwa zaidi kwa Rais debeni Soma maelezo kamili: zurl.co/VKVnS

Wandani wa Ruto: Tuna kadi fiche ya 'Tutam' 

Juhudi zinaelekezwa kumtia Kalonzo kibindoni ambaye wanamsawiri kuwa tishio kubwa zaidi kwa Rais debeni

Soma maelezo kamili:  zurl.co/VKVnS