Lollie✨🥀(@lollyproducts) 's Twitter Profile Photo

Vile tunaizoom tarehe 20

🔰🔰

Msiache kuleta timu uwanjani wanetu haya mambo yanazungumzika tutapunguza idadi ya magoli😂😂

Vile tunaizoom tarehe 20 

#KkooDerby 🔰🔰

Msiache kuleta timu uwanjani wanetu haya mambo yanazungumzika tutapunguza idadi ya magoli😂😂
account_circle
KhalidChukuchuku93🇹🇿(@Khalidchukuchuk) 's Twitter Profile Photo

.

Kuelekea Mchezo Derby Ya Kkoo Jumamosi , Hii ndio michezo ambayo Simba sc na Yanga sc wamekutana na Katika michezo hiyo 107 Yanga sc anaonekana ni Mwamba wakiwa wameshinda michezo 37 .

#Kkooderby.

Kuelekea Mchezo Derby Ya Kkoo Jumamosi , Hii ndio michezo ambayo Simba sc na Yanga sc wamekutana na Katika michezo hiyo 107 Yanga sc anaonekana ni Mwamba wakiwa wameshinda michezo 37 .
account_circle
YAVISE(@oscar_yavise) 's Twitter Profile Photo

In today's sensitive society, theres no room for bullies, bado kidogo mtu ale chupa ya kichwa hapa😁. Kuna watu utani hawauwezi.

account_circle