2 years ago
Je chanjo sio bora kwa virus vipya, so tusichanje? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Kama chanjo ni muhimu kwanini watu wasilazimishwe kuchoma.? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je chanjo tunayotumia watanzania wengi imethibitishwa kwa kiwango na shirika la afya duniani ( WHO) #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Got my booster today. ππ¦ βπ½ #GetVaccinatedNow #UkweliKuhusuChanjo
Je nikiwa tayari nimeugua uviko 19, bado nichanje? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je kuna kundi la damu lenye kinga dhidi ya uviko19? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je ni salama kwa mama anaenyonyesha kuchanja change ya uviko 19? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je wataalamu wamekimbilia chanjo ya uviko 19? #UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je mtu mwenye shinikizo la damu na kisukari wanaweza kuchanja bila madhara yoyote? # UkweliKuhusuChanjo #Uviko19
Je change inakuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa mengine? #ukwelikuhusuchanjo #uviko19
Autocorrect imebadilisha maneno yote ya 'chanjo' kuwa 'change' mtusamehe. Its not worth kufuta video zote. furahieni elimu. - MH #UkweliKuhusuChanjo #uviko19