Tunazidi kusema asante sana kwa wadau wote wanaoamini hii ni sehemu yao sahihi ya kupendezesha makwao kwa furniture bora na zenye usasa kwa kuzingatia ubora
Mfano huyu boss alituita kwake tukaangalia ukubwa wa sehemu yake na kuona namna nzuri ya sofa yake itakavokaa
The #USASA Region II Amateur Cup saw not one, not two, but three forfeits today. With that, Round 1 of the tournament to award the Bill Davey Amateur Cup has concluded. Round 2 is scheduled to continue next weekend.
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mahala fulani kuhusu swala la vijana,malezi na usasa wa tabia n.k
Mtazamo wangu ulikuwa kwa sasa dunia inaishi kupitia mabadiliko ya haraka ambayo hayajawahi kushuhudiiwa katika karne moja na binadamu wanakabiliwa na hatari na changamoto