(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Tusidanganyane bwana, ni vigumu kukataa mwaliko wa Rais hata kama haukubaliani naye. Ni vigumu zaidi pale mwalikwa anapokuwa kiongozi wa Kiimani.

account_circle
The OMEGA(@Charltone91) 's Twitter Profile Photo

Hapa hakuna mchezaji bwana tusidanganyane.... mchezaji yuko slow mchezaji kila mda anarudisha mpila nyuma... uyu league anayoweza kucheza ni Germany na uko League 1 ..

Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Tusidanganyane na Kupeana matumaini ya Uongo, hapa hamna Kocha. Timu kubwa Kama Man United sio ya Kuhangaika hivi na kuteseka namna hii. Aje Kocha mwenye hadhi ya Kufundisha Man United tunayoijua sisi.

Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

Watanzania sio wajinga tusidanganyane, hivi jamani mmewahi kuona wapi kijiwe cha kahawa chenye wamama๐Ÿ˜‚

Watanzania sio wajinga tusidanganyane, hivi jamani mmewahi kuona wapi kijiwe cha kahawa chenye wamama๐Ÿ˜‚
account_circle
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Baada ya miaka mitano ya kuwa single hatimae nikapata mpenzi.

Mpenzi wangu: Siwezi kula nisipo kuona.

Mimi: Naomba tusidanganyane kama umezoea kudanganya danganya hao hao.

๐’๐ˆ๐Œ๐๐€ ๐Œ๐ฌ๐ข๐ฆ๐›๐š๐ณ๐ข๐Ÿ‘‘(@SimbaScTweet) 's Twitter Profile Photo

Top Coach, Top Players, Top Team.

Tusidanganyane wanangu Mamelodi wanatufundisha ukitaka uende jino kwa jino na Waarabu lazima uwe umetimia kila eneo, kuanzia bench ya ufundi mpaka wachezaji uwanjani.

Ule mpira ulio pigwa jana huwezi kuupata kwa wachezaji wa aftatu.
๐Ÿ‘‡

O.J.A.N.G.O(@Ongebwana) 's Twitter Profile Photo

KALONZO is Esau type! Waiting for endorsement from Agwambo! Zero mobilization at his home backyard! Tell me KALONZO's stronghold apart from Ukambani! Tusidanganyane, YES Kalonzo deserve my vote come 2027 but not this way. GO FOR IT Kalonzo Musyoka

KALONZO is Esau type! Waiting for endorsement from Agwambo! Zero mobilization at his home backyard! Tell me KALONZO's stronghold apart from Ukambani! Tusidanganyane, YES Kalonzo deserve my vote come 2027 but not this way. GO FOR IT @skmusyoka
account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa na nguvu kuliko Mzee Mwinyi 1985-1995?๐Ÿค”

Tusidanganyane bhana, huwezi kulinganisha power ya Rais na mwenyekiti wa chama. Ni kweli Nyerere alikuwa na influence lakini hakuwa na power ya Rais.

Tusijidanganye pia kwamba Kikwete ana nguvu kuliko

Sunny Zo(@johngerald15) 's Twitter Profile Photo

Azam Fc wanachekesha sana million 700 kwa Dube huu ni uongo. Dube kwa sasa hana hiyo thamani tusidanganyane hapa. Chukueni million 100 nyie wanalamba lamba mtoto aje zake Jangwani anyanyue vikwapa ๐Ÿ˜€

๐‰๐ฎ๐๐๐š๐ก๏ฃฟโ„ข(@iamjuddah) 's Twitter Profile Photo

KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช vs ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ SOUTH SUDAN

Live Today! Kasarani stadium ๐ŸŸ

@ 4:00PM

Aaah hii ni sure bet, tusidanganyane!๐Ÿ”ฅ

REGISTER sshortly.net/yW0bpx

#BantuJD
account_circle
Goddie(@Goddie_Ke) 's Twitter Profile Photo

CHAMPIONS LEAGUE

Manchester United Vs Bayern Munich

Leo wadau tusidanganyane, Bayern ni stima, wasee wa Man U mnasemaje?

Wekelea sshortly.net/YUXW9q

Get 50% of your stake as Freebet if the match ends 0:0
Bayern KICHWA
Over 2.5 goals
Harry Kane to score
Hapa ni Manchester

Kiddy87_jnr(@Kiddy871) 's Twitter Profile Photo

Match yangu Bora group stage round 1 ni ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ vs ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ

Sitoshangaa kumwona Morocco akiungana ndege moja na TZ

Hey Zambia, hey DR Congo TANZANIA will pay for this

You have 4 points already mkamalizane wenyewe huko

Tusidanganyane hatutoboi๐Ÿ“Œ๐Ÿ’”