Jacquiline Msambila (@named_jacquilin) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Zephania alifundisha AI kwa mabinti zaidi ya 20 kwenye #SikuYaMtotoWaKikeKatikaTEHAMA, wakiuliza maswali na kujifunza kwa bidii! Anatoa wito wa kuwapa wasichana rasilimali zaidi za teknolojia. Tuchangie kujenga mustakabali bora! ๐Ÿ’ป๐Ÿš€ #GirlsInTech #InvestInGirls

Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Katika maadhimisho ya #SikuYaMtotoWaKikeKatikaTEHAMA, Mwalimu Zephania Reuben (Zephania Reuben ) kutoka LogAI aliongoza mafunzo ya Al kwa mabinti zaidi ya 20, walioonesha nia na uelewa mkubwa. Mwalimu Zephania Reuben anahimiza jamii ya wataalamu na wafadhili kuwekeza katika wasichana.