mchapakazi Apliances(@Mkalisimbaa) 's Twitter Profile Photo

Soon they will demand UK flag to be changed as it is not representing Islam
England is in a deep crisis from inverders in the name of asylum

account_circle
Tatua3(@Tatua_3) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Mchapakazi Lazima ni ya Ushindi Jamani
Leo lazima tuku-BOOST wewe mchapakazi na Ksh 100,000 Labour Bonus ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ Ushamiri Kazini mpaka Ushangae ๐Ÿ’ฐ
Siri ya Ushindi ni Kucheza naSh 30 bob tu ujishindie hii Guaranteed Win :
Changamka Mchapakazi :Mpesa Sh 30 PB 150150 AC WEB

Cpsp(T) Jernho๐ŸŽ“(@jerryjeijernho) 's Twitter Profile Photo

Ukimuuliza mwanamke ni mwanaume mwenye sifa zipi anamtaka, liandae sikio lako kumsikia kiumbe ambaye hayupo duniani.

Ukimuuliza mwanaume ni mwanamke gani anamtaka, jiandae kusikia aina mpya ya utumwa. Awe mchapakazi, ajitume, awe mtu wa kujishugulisha.

Win Win situation..๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚

account_circle
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@latax_) 's Twitter Profile Photo

Ni muda sasa wa kijana mchapakazi Sabaya kuwafungulia mashitaka wote waliomdhalilisha mpaka akateseka korkoroni na hana hatia.
Muda wa kupata Maokoto.

Ni muda sasa wa kijana mchapakazi Sabaya kuwafungulia mashitaka wote waliomdhalilisha mpaka akateseka korkoroni na hana hatia. 
Muda wa kupata Maokoto.
account_circle
Billy junior(@billytzjr1) 's Twitter Profile Photo

Haitosaidia wala haitokufanya uonekane mchapakazi kwa kuwasemea vibaya wafanyakazi wenzio kwa viongozi kwa vitu vya uongo
Usidhani utapandishwa cheo kwa unafiki na chuki
Hakuna boss anayekaa meza moja na mnafki ๐Ÿšฎ

account_circle
UVCCM KASULU(@uvccmkasulu) 's Twitter Profile Photo

Tunaye Mwenyekiti wetu wilaya ya Kasulu shupavu na mchapakazi, Mzalendo wa kweli na Msemaji wa Vijana wilaya yote.

Tunaye Mwenyekiti wetu wilaya ya Kasulu shupavu na mchapakazi, Mzalendo wa kweli na Msemaji wa Vijana wilaya yote.
account_circle
LOOK UP TV(@lookuptv) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Mchapakazi Lazima ni ya Ushindi Jamani
Leo lazima tuku-BOOST wewe mchapakazi na Ksh 100,000 Labour Bonus ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธ
Siri ya Ushindi ni Kucheza naSh 30 bob tu ujishindie hii Guaranteed Win :
Changamka Mchapakazi :Mpesa Sh 30 PB 150150 AC LOOK

#win #wednesday #vunacash
account_circle
The Magna Carta ๅŒ็†ๅฟƒ ไบบๆ€ง(@RealHauleGluck) 's Twitter Profile Photo

Edward Moringe Sokoine alikuwa ni Mzalendo wa kweli; mchapakazi; msafi kweli-kweli; mjamaa zaidi ya Mwalimu Nyerere, hakuiba wala kujilimbikizia mali; alikuwa anachukia Mafisadi na majizi kutoka moyoni.

Sokoine ni ROLE-MODEL wetu wenye uchungu wa kweli na nchi yetu.

Edward Moringe Sokoine alikuwa ni Mzalendo wa kweli; mchapakazi; msafi kweli-kweli; mjamaa zaidi ya Mwalimu Nyerere, hakuiba wala kujilimbikizia mali; alikuwa anachukia Mafisadi na majizi kutoka moyoni.

Sokoine ni ROLE-MODEL wetu wenye uchungu wa kweli na nchi yetu. #TaifaKwanza
account_circle
mchapakazi Apliances(@Mkalisimbaa) 's Twitter Profile Photo

Na CCM hitaki KATIBA mpya sababu ya madaraka na Uchaguzi
Maana ikiwa KATIBA impya itapatikana nyenye kuleta usawa ndugu zangu wa CCM hawaezi shinda

account_circle
MPRSK Nick Wesala(@NickWesala) 's Twitter Profile Photo

Happy Labour day!

From Kenya's number one mchapakazi to you. We are reminding you that you are in your last years of joblessness. Serikali ya Dr. Babu Owino ni serikali inayoelewa maslahi yako.

Tutatimiza. Tutaweza!

Happy Labour day!

From Kenya's number one mchapakazi to you. We are reminding you that you are in your last years of  joblessness. Serikali ya Dr. @HEBabuOwino ni serikali inayoelewa maslahi yako.

Tutatimiza. Tutaweza!

#ThikaRoad
account_circle
Ahmad Issa Michuzi(@MichuziJr) 's Twitter Profile Photo

RC CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA UKUMBI WA KANISA LA KKKT TUNDUMA,ASKOFU MKUU MALASUSA ASEMA SONGWE WAMEPATA MKUU WA MKOA MCHAPAKAZI,MSIKIVU NA ANAYEPOKEA USHAURI.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel G. Chongolo ameshiriki katika ibada maalumu ya Kanisa la KKKT Jimbo laโ€ฆ