Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

TADB kupitia Mfuko wa Dhamana wa Wakulima Wadogo - SCGS kwa kushirikiana na BoT Academy wamehitimisha mafunzo ya kujengea uwezo wataalamu 52 kutoka taasisi za fedha kwa lengo la kuongeza uelewa, maarifa na ujuzi wa wataalamu wa fedha kwenye kilimo.

#TADB
#KilimoKinaBenkika
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

We are looking for an organized detail-oriented individual to join our dynamic team.

If you are passionate about efficiency, accuracy and ready to engage with a growing sector, this role might be perfect for you!

#Career #Growth
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Fahamu kwamba huu ni msimu wa kuandaa ardhi, upandaji na uoteshaji kwa mazao mengi ya kilimo.

Je, ni shughuli gani za klilimo zinaendelea mkoani kwako?

#KilimoNiBiashara
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza katika Uzinduzi wa Ofisi ya Kanda ya Kaskazini TADB - Arusha , Mhe. Abdallah Ulega (Mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliipongeza TADB kwa kuendelea kuwafikia Wafugaji, Wavuvi na Wakulima nchini.

#Arusha
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023

Mkurugenzi Mtendaji TADB Frank Nyabundege amewakumbusha wafanyakazi umuhimu wa huduma bora, ufanyaji kazi pamoja 'Team Work' na matumizi sahihi ya teknolojia.

account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

KUELEKEA UZINDUZI WA OFISI YA KANDA YA MAGHARIBI TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Balozi, Dkt. Batilda Burian atembelea ofisi ya TADB kanda ya Magharibi itakayozinduliwa tarehe 23/2/2024 na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.

#kilimoBiashara
#KilimoKinaBenkika
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.) akipokelewa katika banda la TADB na Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera TADB Bw. Mkani Waziri mapema leo katika viwanja vya John Mwakangale, Mbeya.

account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mwendeshaji wa TADB Bw. Frank Nyabundege akutana na Mkurugenzi Mkuu wa COPRA Bi. Irene Mlola, kujadiliana kuhusu ushirikiano katika usimamizi wa Mazao na Biashara. TADB inatoa ufadhili wa Mazao mbalimbali katika Sekta ya Kilimo.

COPRA Tanzania

@Copra_tz

#TADB
#KilimoKinaBenkika
account_circle
Tanzania Agricultural Development Bank(@tadbtz) 's Twitter Profile Photo

Benki ya TADB imefanya kikao na Naibu Katibu Mkuu - Mifugo Prof. Daniel Mushi, kwa lengo la kujadili kukuza mahusiano kati ya TADB na Wizara katika kutekeleza miradi ya ufugaji ikiwemo kuku, Ng'ombe na pembejeo za mifugo.

Mifugo na Uvuvi

@UvuviNa

#TADB
#KilimoKinaBenkika
#UfugajiniUtajiri
account_circle