Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Awamu ya 2 ya
Mjadala: Kufikia sasa zaidi ya wakenya 83 wameaga dunia kutokana na mafuriko huku zaidi ya wakenya 131,000 wakipoteza makao. Unadhani kipi kinastahili kufanywa ili kupunguza madhara na athari zinazosababishwa na mafuriko nchini?

account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Awamu ya 3 ya

Hii tunaangazia athari za kiafya ambazo huenda zikasababishwa na mafuriko yanayoshuhudiwa humu nchini. Swali lako ni lipi?
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10

Awamu ya 3 ya #AsheBreakfast
#SihaNjema

Mjadala: Kufikia sasa zaidi ya wakenya 83 wameaga dunia kutokana na mafuriko huku zaidi ya wakenya 131,000 wakipoteza makao. Unadhani kipi kinastahili kufanywa ili kupunguza madhara na athari ?

Awamu ya 2 ya #AsheBreakfast
Mjadala: Kufikia sasa zaidi ya wakenya 83 wameaga dunia kutokana na mafuriko huku zaidi ya wakenya 131,000 wakipoteza makao. Unadhani kipi kinastahili kufanywa ili kupunguza madhara na athari ?
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Awamu ya 3 ya
Mazungumzo: Athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa wanawake na wasichana ni zipi? Ni kipi kinastahili kufanywa ili kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia nchi?
Radio Ashe Emmanuel Matano

Awamu ya 3 ya #AsheBreakfast   
Mazungumzo: Athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa wanawake na wasichana ni zipi? Ni kipi kinastahili kufanywa ili kudhibiti athari za mabadiliko ya tabia nchi?
@radio_ashe   @EmmanuelMatano4 
#Africanwomanandchildfeatureservice
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Awamu ya 3 ya

Wiki hii ulimwengu mzima unaadhimisha wiki ya chanjo duniani. Studioni ninaye Dkt John Letiwa kutoka hospitali ya rufaa ya Samburu tukiangazia umuhimu wa chanjo. Swali lako ni lipi?

Awamu ya 3 ya #AsheBreakfast
#Sihanjema
Wiki hii ulimwengu mzima unaadhimisha wiki ya chanjo duniani. Studioni ninaye Dkt John Letiwa kutoka hospitali ya rufaa ya Samburu tukiangazia umuhimu wa chanjo. Swali lako ni lipi?
#WorldImmunizationWeek
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi njema Msikilizaji! U hali gani? Safari ya ndio hiyo inang'oa nanga na kwenye usukani ni Emmanuel Matano Radio Ashe . Unaabiri ukiwa wapi?
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
Listen live: radioashe.org

Asubuhi njema Msikilizaji! U hali gani? Safari ya #AsheBreakfast ndio hiyo inang'oa nanga na kwenye usukani ni @EmmanuelMatano4 @radio_ashe . Unaabiri ukiwa wapi?

Kumekucha Msikilizaji! Wikendi ilikuaje? Ni wakati wa kuanza wiki Kwa baraka kwenye mpango mzima na Emmanuel Matano Radio Ashe . Wakaribishe wawili tukisonga pamoja.
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
Listen live: radioashe.org

Kumekucha Msikilizaji! Wikendi ilikuaje? Ni wakati wa kuanza wiki Kwa baraka kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe  . Wakaribishe wawili tukisonga pamoja.
Call 07 12 00 00 14    Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
Listen live: radioashe.org
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Kumekucha Msikilizaji! Happy New Month Msikilizaji! Ni wakati wa kunyakua baraka kwenye mpango mzima na Emmanuel Matano Radio Ashe Unalog in ukiwa wapi?
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10

Kumekucha Msikilizaji! Happy New Month Msikilizaji! Ni wakati wa kunyakua baraka kwenye mpango mzima #AsheBreakfast na @EmmanuelMatano4 @radio_ashe   Unalog in ukiwa wapi?
Call 07 12 00 00 14       Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi njema Msikilizaji! U hali gani? Safari ya ndio hiyo inang'oa nanga na kwenye usukani ni Emmanuel Matano Radio Ashe . Unaabiri ukiwa wapi?
Call 07 12 00 00 14 Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10

Asubuhi njema Msikilizaji! U hali gani? Safari ya #AsheBreakfast ndio hiyo inang'oa nanga na kwenye usukani ni @EmmanuelMatano4 @radio_ashe . Unaabiri ukiwa wapi?
Call 07 12 00 00 14      Sms/Whatsapp 07 12 04 00 10
account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Hilary(Elgeyo Marakwet) Kuna haja ya kuzuia ujenzi wa aina yoyote kwenye njia za maji. Pia kuna haja ya upanzi wa miti kwa wingi ili kuzuia mmomonyoko wa udongo
Emmanuel Matano Radio Ashe

account_circle
Radio Ashe(@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Hilary(Elgeyo Marakwet) Tunaambiwa tuchukue tahadhari kabla ya hatari lakini serikali iwasaidie kuwahamisha watu kwenye maeneo salama na kuwa msaada
Radio Ashe Emmanuel Matano

account_circle