MUGAMBI AMATHI (@phiamax) 's Twitter Profile Photo

Interior CS KIPCHUMBA MURKOMEN, E.G.H in Bomet County for the 26th edition of #JukwaaLaUsalama. A key platform for engaging citizens on security and governance matters. #BometCounty #Usalama #Kenya

Interior CS <a href="/kipmurkomen/">KIPCHUMBA MURKOMEN, E.G.H</a>  in Bomet County for the 26th edition of #JukwaaLaUsalama.

A key platform for engaging citizens on security and governance matters.

#BometCounty #Usalama #Kenya
Sauti ya Kajiado (@busradiokajiado) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Usalama WA ndani Kipchumba Murkomen amewasili mji mkuu wa Kajiado na kupokelewa na Gavana Joseph OLE Lenku. Waziri anatarajiwa kuzuru maeneo ya Majengo ambapo atashuhudia shuguli ya usajili WA kitambulisho, kisha atakua na kikao na viongozi kuhusu #Usalama. Ministry of Interior | Kenya

Waziri wa Usalama WA ndani Kipchumba Murkomen amewasili mji mkuu wa Kajiado na kupokelewa na Gavana Joseph OLE Lenku. Waziri anatarajiwa kuzuru maeneo ya Majengo ambapo atashuhudia shuguli ya usajili WA kitambulisho, kisha atakua na kikao na viongozi kuhusu #Usalama. <a href="/InteriorKE/">Ministry of Interior | Kenya</a>
781Neece (@781famerguider) 's Twitter Profile Photo

Kilimo sio ushamba kilimo sio kukosa elimu kilimo sio chaguo la mwisho kilimo ni #usalama waa kesho yako #jitafakari Hahpo kwenye kilimo hapo salama

Ngongo Selemani (@ngongo_seleman) 's Twitter Profile Photo

🔴#Moba - Tanganyika : Plus de 200 miliciens #Mutono déposent les armes sous pression des #FARDC dans le cadre de l’opération #USALAMA.

Ngongo Selemani (@ngongo_seleman) 's Twitter Profile Photo

🔴#Tanganyika / Moba : À 37 km de #Moba-centre, plus de 50 #miliciens du groupe #Mutono ont déposé les armes à #Murusi sous la pression des #FARDC, dans le cadre de l’opération #USALAMA. Un tournant majeur pour la paix à #Kansabala.

🔴#MOBA – SÉCURITÉ : Descente du commandant des opérations militaires #USALAMA à #Moba, en vue de palper du doigt les réalités sécuritaires dans les chefferies de #Kansabala et #Nganyi. 🎙️Rép. : Sergent #Aristote Tshitamba

Bri X (@arerib) 's Twitter Profile Photo

Life ni fast—kazi, hustles, status updates nonstop. Phone iko 24/7, lakini peace iko wapi? Tulia buda, sip that kahawa, stare at the clouds kidogo. Soft life si juu ya pesa tu, ni juu ya peace of mind. #SoftLife #TuliaNdioUgrow #MaishaYaSasa #Usalama #freedom🤝🫶

Angaza Media🇹🇿 (@angazamediatz) 's Twitter Profile Photo

#USALAMA: Waziri wa mambo ya ndani Mh. Innocent Bashungwa amewataka waandishi wa habari kufanya kazi za uandishi katika kuhamasisha amani na usalama kwa kushirikiana na serikali pamoja na kuwakumbusha watanzania umuhimu wa kuitunza tunu ya amani na usalama tulionayo kama nchi.

Lokoi FM (@lokoifm) 's Twitter Profile Photo

Seneta wa Nandi, Samson Cherargei, anaitaka serikali kufichua idadi ya NPR walioko katika kaunti zinazoathiriwa na ukosefu wa usalama, kueleza jinsi walivyoajiriwa, na kuwawajibisha wanaoshirikiana na wahalifu. #Lokoifm #SautiYaMashariki #Usalama #KDF #Kenya

Seneta wa Nandi, Samson Cherargei, anaitaka serikali kufichua idadi ya NPR walioko katika kaunti zinazoathiriwa na ukosefu wa usalama, kueleza jinsi walivyoajiriwa, na kuwawajibisha wanaoshirikiana na wahalifu. 

#Lokoifm #SautiYaMashariki #Usalama #KDF #Kenya
Ahmed Samuel Uwiringiyimana (@uwiring50280318) 's Twitter Profile Photo

Kuhusiana na #pesa kwangu Maa Shaa Allah! Allahmudulillah 🙏 kuhusiana na #chakulavinywaji kwangu Maa Shaa Allah! Allahmudulillah 🙏 #usalama, #Familia pia! Allahmudulillah 🙏 Lakini kwa upande wa #RAYONSPORTS FC sio kwema ✍️🙆‍♂️😭 Basi Allahmudulillah 🙏

Winnie Kimaro (@kimarowinnie77) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Tanzania inaziunganisha nguvu za SADC kwa ajili ya Afrika Kusini yenye usalama, mshikamano na amani ya kudumu. #Umoja #Usalama #Afrika

Adam Mwakyembe (@adammwakye77928) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Tanzania inaziunganisha nguvu za SADC kwa ajili ya Afrika Kusini yenye usalama, mshikamano na amani ya kudumu. #Umoja #Usalama #Afrika