TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile
TAFIRI

@tafiri_tz

Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI) was established by the Act of Parliament No. 6 of 1980 to promote, conduct, and co-ordinate fisheries research.

ID: 1496434270671355909

linkhttps://tafiri.go.tz calendar_today23-02-2022 10:38:36

315 Tweet

510 Followers

150 Following

TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile Photo

Happy Karume Day! TAFIRI joins the nation in honoring the legacy of Mwalimu Abeid Amani Karume — a symbol of unity, vision, and leadership. May his dedication inspire our journey toward sustainable fisheries and a thriving blue economy. #KarumeDay #TAFIRI #BlueEconomy

Happy Karume Day!
TAFIRI joins the nation in honoring the legacy of Mwalimu Abeid Amani Karume — a symbol of unity, vision, and leadership.
May his dedication inspire our journey toward sustainable fisheries and a thriving blue economy.
#KarumeDay #TAFIRI #BlueEconomy
TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) Na Watumishi Wote Wanawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025. Ismael Kimirei wizarayamifugonauvuvi

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) Na Watumishi Wote Wanawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025.
<a href="/IKimirei/">Ismael Kimirei</a> <a href="/mifugonauvuvi/">wizarayamifugonauvuvi</a>
TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile Photo

“Serikali kupitia programu maalum ya IMF imewezesha ujenzi na usambazaji wa boti 160 na vizimba 222 kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji, hatua iliyotoa ajira za moja kwa moja kwa zaidi ya watu 5,600 na

Sekta ya Uvuvi inatoa ajira kwa zaidi ya Watanzania milioni 6 na imekua kwa asilimia 1.4, ikichangia asilimia 1.7 ya Pato la Taifa mwaka 2023. Uzalishaji wa samaki umeongezeka hadi tani 543,598.91 zenye thamani ya shilingi trilioni 3.04, kutoka tani 477,018.48 mwaka 2021/2022.

Jana,Tarehe 6,Mei 2025,Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb),alizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma,ambapo alielezea mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita katika sekta ya mifugo na uvuvi.

*Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na watumishi wote tunaungana na Watanzania wote kuomboleza kifo cha Mheshimiwa David Cleopa Msuya, aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Our Ocean, Our Responsibility. Proud to host the MarCOSIO Fisheries Exchange Workshop — bringing together fishers, scientists & tech for a sustainable future. #EUSpace #GMESServices #EarthObservation #MarCOSIO #BlueEconomy #SustainableFisheries #GMESandAfrica #OurOcean

Salmart Diplomatic (@salmartdiplomat) 's Twitter Profile Photo

The MarCOSIO Fisheries Exchange Workshop brings together artisanal fishers, EO experts, marine scientists, and policy leaders to co-create solutions that protect ecosystems, strengthen coastal livelihoods, and advance the blue economy.

TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Wizara yake inaendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri kupitia uwekezaji katika shughuli za ufugaji nchini.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Wizara yake inaendelea kutekeleza Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri kupitia uwekezaji katika shughuli za ufugaji nchini.
Salmart Diplomatic (@salmartdiplomat) 's Twitter Profile Photo

📸 Our Team in Action! The energy is high, the doors are open, and registration is underway! ✅ Our dedicated team is on the ground making sure every delegate feels welcomed and ready for a week of impact and innovation at the MarCOSIO Fisheries Exchange Workshop 2025.

📸 Our Team in Action!
The energy is high, the doors are open, and registration is underway! ✅

Our dedicated team is on the ground making sure every delegate feels welcomed and ready for a week of impact and innovation at the MarCOSIO Fisheries Exchange Workshop 2025.
TAFIRI (@tafiri_tz) 's Twitter Profile Photo

Prof. Shemdoe, accompanied by Dr. Ismael Kimirei, Director General of TAFIRI, officially opened the workshop — setting the stage for a week of powerful discussions on how Earth Observation, digital technologies, and community-driven innovation can transform small-scale fisheries.

Salmart Diplomatic (@salmartdiplomat) 's Twitter Profile Photo

🎥 Flashback: Dr. Ismael Kimirei, Director General of @tafiritanzania, keenly following the #MarCOSIO2025 presentations — showcasing leadership in advancing sustainable fisheries & the #BlueEconomy. #TAFIRI #FisheriesInnovation #AfricaOceanAgenda #SalmartDiplomatic

🎥 Flashback:
Dr. Ismael Kimirei, Director General of @tafiritanzania, keenly following the #MarCOSIO2025 presentations — showcasing leadership in advancing sustainable fisheries &amp; the #BlueEconomy.

#TAFIRI #FisheriesInnovation #AfricaOceanAgenda #SalmartDiplomatic