Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile
Swahili Times

@swahilitimes

Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779

ID: 630605295

linkhttps://swahilitimes.co.tz calendar_today08-07-2012 21:11:19

84,84K Tweet

1,5M Followers

0 Following

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China leo.

“China iko tayari kuisaidia Afrika kuboresha uwezo wake wa kulinda amani na utulivu, kuipa Afrika kipaumbele katika kutekeleza Mpango wa Usalama wa Kimataifa (GSI), kuhimiza uimarishaji wa pande zote wa maendeleo ya hali ya juu na usalama zaidi, na kushirikiana na Afrika

“Serikali mpaka sasa haina mpango wowote wa kufunga Ziwa Victoria mpaka hapo itakapokuwa imesema baadaye. Kama kutakuwa na umuhimu wa kufunga Ziwa Victoria, Serikali itafuata michakato yote na taratibu zote kuanzia chini mpaka juu ili maamuzi ya kufunga ziwa yawe ni maamuzi ya

“China iko tayari kuongeza kubadilishana uzoefu wa utawala na Afrika, kuunga mkono nchi zote katika kuchunguza njia za kisasa zinazolingana na hali zao za kitaifa, na kusaidia kuhakikisha haki sawa na fursa sawa kwa nchi zote.” - Xi Jinping, Rais wa China katika Mkutano wa Jukwaa

“Matokeo ya ushirikiano huu [China na nchi za Afrika] zinaonekana katika uchumi wetu, na ni kweli kwamba China imekuwa mshirika wa kweli katika mapambano yetu dhidi ya umasikini na katika kufuata ustawi.” – Rais Samia Suluhu katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China

“Kuwepo kwetu hapa leo [Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika] kunadhihirisha mshikamano na dhamira ya kujenga mustakabali wa pamoja wa maendeleo na ustawi. Tufanye kazi pamoja ili kuleta ubunifu wenye manufaa wa kijamii na kiuchumi kwa nchi zetu.” - Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China leo.

Mama Teresa aliyetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 1979 kwa ajili ya kazi yake ya hisani kwa maskini, alifariki mwaka 1997 akiwa na umri wa miaka 87 huko Kolkata nchini India. Mwaka 2016, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis alimtangaza Mama Teresa kuwa

Mama Teresa aliyetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 1979 kwa ajili ya kazi yake ya hisani kwa maskini, alifariki mwaka 1997 akiwa na umri wa miaka 87 huko Kolkata nchini India.

Mwaka 2016, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis alimtangaza Mama Teresa kuwa
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amemteua Michel Barnier (73), mpatanishi mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya wa Brexit kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo. Macron alifanya mazungumzo na mwanasiasa huyo mkongwe akimpa jukumu la kuunda serikali mpya itakayoweza kuhimili Bunge la

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amemteua Michel Barnier (73), mpatanishi mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya wa Brexit kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.

Macron alifanya mazungumzo na mwanasiasa huyo mkongwe akimpa jukumu la kuunda serikali mpya itakayoweza kuhimili Bunge la