Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profileg
Swahili Times

@swahilitimes

Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779

ID:630605295

linkhttps://swahilitimes.co.tz calendar_today08-07-2012 21:11:19

81,8K Tweets

1,4M Followers

0 Following

Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23.

Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano…

Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imewahukumu kifo wanajeshi nane wakiwemo maafisa watano kwa tuhuma za kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi wakati wakipambana na waasi wa M23. Mwendesha mashtaka amesema makamanda hao walishindwa kuwajibika kwenye uwanja wa mapambano…
account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Hali ilivyo katika Kisiwa cha Mafia, Pwani kutokana na Kimbunga Hidaya.

Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wanaendelea na kazi ya kurekebisha miundombinu iliyoathiriwa na upepo unaoendelea kuvuma.

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umesema kutakuwa na kusimama kwa huduma ya vivuko katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mtwara, Lindi na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia, Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Tanga ili kujilinda na kuepuka athari za kimbunga Hidaya…

Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 97 duniani kutoka nafasi ya 143 mwaka 2023.

Utafiti huo ni kwa mujibu wa Reporters Without Borders (RSF) ambao umeangazia mambo mbalimbali yakiwemo…

Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 97 duniani kutoka nafasi ya 143 mwaka 2023. Utafiti huo ni kwa mujibu wa Reporters Without Borders (RSF) ambao umeangazia mambo mbalimbali yakiwemo…
account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Kaya 52,000 katika nchi yetu zenye zaidi ya watu 210,000 zimepata athari hizo [za mvua], na mpaka sasa vifo vilivyoripotiwa jumla ni 161 tangu tuanze kushughulika na maafa tarehe 1 Aprili, na nyumba zaidi ya 15,000 zimeathirika, na majeruhi mpaka sasa ni zaidi ya watu 250.” –…

“Kutoka saa 9 alfajiri [Kimbunga HIDAYA] kilikuwa kilomita 401 kutoka Pwani ya nchi yetu katika Mkoa wa Mtwara, lakini umeendelea mzunguko huo kusogelea Pwani yetu na sasa umebakisha kilomita 342 na umeendelea kusogea, lakini habari nzuri ni kwamba unaendelea kupungua nguvu.” –…