Swahili__A💊(@swahili__A) 's Twitter Profileg
Swahili__A💊

@swahili__A

Nyerere

#SimbaSCTanzania

ID:1486411389069664256

calendar_today26-01-2022 18:51:26

57,6K Tweets

3,1K Followers

1,0K Following

Hadithi za mswahili🇹🇿(@hadithimswahili) 's Twitter Profile Photo

NILIZE NA MIMI SHEMEJI >>>>>01
Anaitwa Aisha, Msichana wa miaka 16 tu ambaye alikua ametoka Singida kwenda Morogoro likizo. Ilikua ndiyo mara ya kwanza kwa Mrangi huyu kufika Morogoro.
Alienda kumtembelea Dada yake Aliyeitwa Somoe ambaye alikua na Mume aitwaye Shaweji. Walikua

NILIZE NA MIMI SHEMEJI >>>>>01 Anaitwa Aisha, Msichana wa miaka 16 tu ambaye alikua ametoka Singida kwenda Morogoro likizo. Ilikua ndiyo mara ya kwanza kwa Mrangi huyu kufika Morogoro. Alienda kumtembelea Dada yake Aliyeitwa Somoe ambaye alikua na Mume aitwaye Shaweji. Walikua
account_circle
🇹🇿 kelvin🥀(@KelvinEliasi9) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi sana kama haujaowa ama kuolewa,muombe Mungu akupe Mke/Mume mcha mungu.Aisee utafurahia mahusiano.
SIFA ZA MCHA MUNGU
1. Ni msikivu
2.Mnyenyekevu
3.Upendo wa dhati
4.Anajari kiukweli
NB:Kabla yakutaka mke/mume bora kua bora kwanza wewe.📌

account_circle
Mchachu, PhD🐐(@mchachu_) 's Twitter Profile Photo

Kama mwaka wako wa kuzaliwa unaanzia 19... sasa hivi unatakiwa uwe na...📍😊

1. Mke na watoto 2+

2. Nyumba na Gari 2

3. Vyanzo vya pesa 2+

4. At least akiba ya 20m

account_circle
WAPEPAJI_4LIFE🍁(@dijei37) 's Twitter Profile Photo

*NYUNDO YA ASUBUHI*
*Moyo uliobeba dharau*,
*Chuki ,*
*Ujuaji,*
*Na majigambo,*
*Ni vigumu kuwa na amani hata upewe dunia nzima na vitu vyote vilivyomo.*

account_circle
DINGI ⚕️(@Dingi_1234) 's Twitter Profile Photo

Hii laki nikiipata natafuta zangu odd 10 za kutoa figo
Nastake laki yote
Nitawin 1 million
Tutaweka tafrija😁
Kwenye comment mmetisha wakuu

Hii laki nikiipata natafuta zangu odd 10 za kutoa figo Nastake laki yote Nitawin 1 million Tutaweka tafrija😁 Kwenye comment mmetisha wakuu
account_circle
Sidraz Tz(@SidrazTz1) 's Twitter Profile Photo

Anko Unaweza Kudhalilisha Sifa Ya Mtu Na Nakupunguza Heshima Yake. Lakini Hauwezi Kumpokonya Neema Zake Anko.

account_circle