SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profileg
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@sukununu01

Baba Ashura

ID:1354834917511856135

calendar_today28-01-2021 16:53:39

20,3K Tweets

13,2K Followers

1,2K Following

SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Hiiiiiiiiiiiiiiiiii picha inazungumza mambo mengi Sana kiasi kwamba ukianza kuitafsiri unaweza pasuwa moyo pamoja na mishipa yake

account_circle
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Huu niupumbavu na ujinga wa hali ya juu Sana kwa wana CCM mtu mzima kiongoz kabisa Unasubutu kusema Serikali haita leta maendeleo Coz nafasi mmempa mpinzani kwani hii serikali niya vyama vyote au chama kimoja Nini maana ya vyama vingi sibora mfute tu vyama hivi vingine tujue 1

Kama upo mwimbili weka location ako kwa Comment hapo chini tuonane tupeane hai japo dakika 5 nitakuwepo hapa hospital mpaka saa 10 jion Coz siko poa ki afya nimekuja kupima pia nimekuja kutembelea wa gonjwa na kuwapitia moyo wagonjwa walio kata tamaaa ya kuishi

Ninamengi Ya kusema Kuhusu Suphian Juma sijui mnaniruhusu namimi nizungumze maana Yeye tayari amesha sema yaliyopo ndani ya moyo wake

Kama sukununu01 akichukuliwa hatuwa za kisheria Bac hata huyu naeee anapaswa aadabiswe kisheria bila kujali nafasi alio nayo kwa nchi Kwani huyu si ndio waziri nape au mimi simjui itoshe tu kusema Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nikichwa cha mwenda wazimu

Huyu mzee jakaya mbona anazingua ameanza kuleta kampeni kwenye msiba ingekuwa vijana wachadema tungeambiwa tuna Uhuru ulio pitiliza kwa nchi na viongozi wake

account_circle
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Ninamengi Ya kusema Kuhusu Suphian Juma sijui mnaniruhusu namimi nizungumze maana Yeye tayari amesha sema yaliyopo ndani ya moyo wake

Ninamengi Ya kusema Kuhusu Suphian Juma sijui mnaniruhusu namimi nizungumze maana Yeye tayari amesha sema yaliyopo ndani ya moyo wake
account_circle
SUKUNUNU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Samia kwani anachuki na mzee wa Taifa mbona anamuwaisha fasta kumzika mzee utazani mtu anafungasha nyama robo kwa gazeti ? Tena nyama ya mkopo

Leo nataka tupimane uwezo wa kufikiri watu tujue huko chuo kunaendaga kutembea au kufata pisi swali nikwamba hivi nikwanini kila baada ya miaka4 ndio inajirudia taree 29 mwezi wa 2 kwann sio taree 28 ibaki hivyo Kama wengi wetu tunavyo jua Kwan kila baada ya miaka4 kinatokeya nn

Huyu demu hapa TwitterX huwa anamdomo sana kujikuta yeye ndio queen kuzidi wote haya Leo yako wapi sasa nakigodoro cha buku jero 1500

Kwani hali Ya mzee wetu Mwinyi ipo je au nayeee kamfata Mdogo wake Lowassa kama Magufuli alivyo mtafa mkapa maana serikali haitowi taari ya marazi yake mbona Kama serikali imemtelekeza mzee wetu ?

Chadema ni sauti ya wananchi hao hao wananchi ndio wenye nchi ndio maana Chadema nikipenzi cha kila mtu watoto vijana watu wazima wababa wamama wababu wabibi wote sauti moja ya Chadema nguvu moja