88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile
88.9 Storm FM

@stormfmtz

Follow us - Instagram & Threads @stormfmtz_ | Tiktok@ stormfmtz | Facebook @88.9 STORM FM GEITA. Tusikilize LIVE ukiwa popote pale, bonyeza link 👇

ID: 2753189621

linkhttps://radio.tadio.co.tz/storm-fm/ calendar_today28-08-2014 09:37:41

12,12K Tweet

1,1K Takipçi

276 Takip Edilen

88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

Jumla ya vikundi 100 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vyapatiwa mkopo halmashauri ya manispaa ya Geita radiotadio.co.tz/stormfm/2025/0… #StormFM

88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na siku moja amekutwa amechomwa moto na kutelekezwa kando ya barabara mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita. Tukio limetokea Septemba mosi ambapo baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa haraka kumbaini mhusika.

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na siku moja amekutwa amechomwa moto na kutelekezwa kando ya barabara mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita.

Tukio limetokea Septemba mosi ambapo baadhi ya wakazi wa eneo hilo wameliomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa haraka kumbaini mhusika.
88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

DC Nyang'hwale Grace Kigalame ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa DC Geita Hashim Komba. Makabidhiano yamefanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi Wavu na ukiwa wilaya ya Nyang'hwale utakimbizwa kwa KM 58 na kutembelea miradi 11 yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.5.

DC  Nyang'hwale Grace Kigalame ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa DC Geita Hashim Komba.

Makabidhiano yamefanyika leo katika viwanja vya shule ya msingi Wavu na ukiwa wilaya ya Nyang'hwale utakimbizwa kwa KM 58 na kutembelea miradi 11 yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.5.
88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

Bei kwa mkoa wa Geita ni kama ifuatavyo: -Geita DC Petroli ni 3,007 na Dizeli ni 2955. -Bukombe DC Petroli ni 2996 na Dizeli ni 2944. -Chato DC Petroli ni 3028 na Dizeli ni 2976. -Mbogwe DC Petroli ni 3,045 na Dizeli ni 2993. -Nyang'hwale DC Petroli ni 3,022 na Dizeli ni 2970.

Bei kwa mkoa wa Geita ni kama ifuatavyo:

-Geita DC Petroli ni 3,007 na Dizeli ni 2955.
-Bukombe DC Petroli ni 2996 na Dizeli ni 2944.
-Chato DC Petroli ni 3028 na Dizeli ni 2976.
-Mbogwe DC  Petroli ni 3,045 na Dizeli ni 2993.
-Nyang'hwale DC Petroli ni 3,022 na Dizeli ni 2970.
88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

DC Mbogwe Mhe. Sakina Mohamed ameupokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa DC Nyang'hwale Grace Kingalame leo Septemba 4 katika viwanja vya shule ya msingi Butimba. Mwenge wa Uhuru ukiwa wilaya ya Mbogwe utakagua, utazindua na kuweka mawe ya msingi miradi 9 yenye thamani ya Tsh Bil 4.4.

DC Mbogwe Mhe. Sakina Mohamed ameupokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa DC Nyang'hwale Grace Kingalame leo Septemba 4 katika viwanja vya shule ya msingi Butimba.

Mwenge wa Uhuru ukiwa wilaya ya Mbogwe utakagua, utazindua na kuweka mawe ya msingi miradi 9 yenye thamani ya Tsh Bil 4.4.
88.9 Storm FM (@stormfmtz) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Azam FC imetangaza kumsaini kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja. Mkataba wa awali wa nyota huyo wa zamani wa Yanga ulikuwa ukamilike Juni, 2026 lakini sasa kiungo huyo aliyekuwa akihusishwa kwenda Simba SC ameongeza mwaka mmoja zaidi.

Klabu ya Azam FC  imetangaza kumsaini kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ nyongeza ya mkataba mpya wa mwaka mmoja.

Mkataba wa awali wa nyota huyo wa zamani wa Yanga ulikuwa ukamilike Juni, 2026 lakini sasa kiungo huyo aliyekuwa akihusishwa kwenda Simba SC ameongeza mwaka mmoja zaidi.